bangi

  1. G

    Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

    Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni...
  2. Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  3. R

    Ujerumani yaruhusu uvutaji wa bangi kwa kiwango kidogo

    Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani. --- FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country liberalized rules on cannabis to allow possession of small amounts. The German Cannabis Association, which...
  4. Sote ni wavuta bangi na zinatumiwa kutengezea dawa

    Bangi yenye nguvu inaongeza hatari kubwa ya magonjwa ya akili, wasema watafiti 15 Machi 2024 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Watu wanaotumia bangi wanaweza kushindwa kuelewa mambo halisi na kushindwa kusikia sauti zao, wanasema watafiti Kuvuta bangi yenye nguvu yenye majani...
  5. KISA CHANGU: Mara ya kwanza kuvuta bangi nilienda kumuomba ushauri mwalimu kuwa nataka kujiua

    JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo. Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
  6. Bangi inasababisha mshtuko wa Moyo

    Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umegundua kuwa kuvuta au kula bidhaa zozote zenye bangi husababisha athari kubwa kwenye moyo wa Binadamu kama vile kupata mshtuko wa moyo pamoja na kiharusi na yote haya hutokea hata kama Mtu hakuwa na magonjwa ya moyo na hajawahi kuvuta sigara hapo...
  7. Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

    Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa. Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk Mimi nashangaa sana halafu unakuta...
  8. Sukari yaanza kuuzwa kama Bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo. Waandishi wa Mwananchi wamebaini baadhi ya maduka yanauza bidhaa hiyo kati ya Sh4,000 hadi 5,000 kwa kilo kwa wateja...
  9. KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  10. Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  11. Kumbe baadhi ya viduka vya iPhone vilivojaa mjini ni center za ku-push madawa na bangi

    Heri ya mwaka mpya. Hii kitu nilishawahi kuambiwa na mtu flani nikapinga, nikasema maybe huyu jamaa ana chuki na wivu na jitihada za vijana wajasirimali. But baada ya kufikiria zaidi, it made so much sense, but sikuwa na uhakika 100% Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji tunapiga story...
  12. Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

    Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee! Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
  13. Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

    Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine...
  14. S

    Wivu siyo asili yetu afrika, Bali ni janga linalotutafuna kuliko bangi

    Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo! "Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu" "Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa" "Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
  15. Snoop Dogg anaijua biashara kwelikweli; hajaacha bangi; awafanya walimwengu mapoyoyo!

    Snoop Dogg ameweka wazi kuwa hajaacha kuvuta bangi; bado anaendelea kuvuta kwani ndio kitu anachokipenda sana na kuamua kuweka mambo sawa kuwa yale yote ilikuwa ni tangazo (ad) la majiko yasiyo na moshi[emoji38][emoji38][emoji23]; smokeless stove.
  16. R

    Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  17. DCEA: Tuna orodha ya Wasanii wanaotumia Dawa za Kulevya, kupimwa wote

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote wanaovuta anayo na kwamba Mamlaka hiyo inakamilisha ujenzi wa Maabara mpya ya Ukaguzi na Sayansi Jinai...
  18. KWELI Matumizi ya Bangi huongeza hatari ya kupata Shambulio la Moyo na Kiharusi (Stroke)

    Wakuu nimekutana na makala moja CNN kuhusu utafiti ulioonesha kuwa Watu wanaotumia Bangi wako hatarini kupatwa na matatizo ya Shambulio la Moyo au Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure). Hii imakaaje wakati hivi karibu kumekuwa na maelezo kuwa Bangi husaidia kutibu baadhi ya Seli za Saratani?
  19. Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  20. Kiwanda cha biskuti za bangi chagunduliwa Kawe

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Kilogramu 158.54 zilikamatwa eneo la Kigamboni na Kawe jijini Dar es salaam zikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…