bandarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Zijue mashine na mitambo mbalimbali inayotumika bandarini kupakia na kupakua mizigo na shehena mbalimbali

    Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
  2. R

    Mamlaka ya Bandari Tanzania mnapotoa ufafanuzi wa hoja kuweni makini; meli kukaa bandarini siku 20 ni sifa?

    Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa. Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
  3. D

    DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
  4. Hapana What

    Ushuru wa bandarini ukoje?

    Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine...
  5. M

    Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  6. Roving Journalist

    TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini. Amesema “Kichwa cha Treni...
  7. Mparee2

    Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

    deleted
  8. JanguKamaJangu

    KERO Responded Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  9. Lord Lofa

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
  10. Msanii

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  11. The Supreme Conqueror

    Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  12. benzemah

    KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha. ========= Nukuu ya alichozungumza Askofu Shoo Naomba ieleweke wazi Kanisa linaunga mkono...
  13. benzemah

    Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  14. Ngaliwe

    Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  15. Mzalendo Uchwara

    Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  16. Pascal Ndege

    Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

    Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world. Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way. Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
  17. Zanzibar-ASP

    Serikali inasema DP World itadhibiti wizi bandarini. Kivipi? Serikali imerogwa na nani?

    Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya unyeti wake huku ukiratibiwa na vyombo vyote vya usalama vya nchi. Sasa, maajabu ya karne viongozi wa...
  18. benzemah

    Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
  19. Replica

    Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  20. Chachu Ombara

    Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
Back
Top Bottom