bandarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

    "...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia. My take; Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?! Je, wenye dhamana za uongozi katika...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania TBS Bandarini kichaka cha upigaji

    Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze, ukijidai Nunda utajuta kuwafahamu. Asanteni, ila mtafika mkiwa mmechoka sana
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

    Kuuliza wala siyo ujinga wana JF. Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini. Maana tuliambiwa havikuwa na mwenyewe na je hivi leo vipo wapi au alipatikana mwenyewe akavichukua? Hii Bongo hii wacha kabisaaa
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1898 Poplar Dock London, farasi walitumika kubeba mizigo kati ya bandarini na kwenye treni

  6. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mizigo na bidhaa hukwama bandarini?

    Hizi kesi zimekuwa nyingi sana siku hizi. Tumekuwa tukiona malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kupoteza mizigo yao bandarini. Inawezekanaje? Imebidi tuje tuulize ili kusikia experience kutoka kwa wengine ambao washawahi kukutana na changamoto za mizigo yao bandarini. Hivi kwanini baadhi ya...
  7. Morg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kunukia sogeeni hapa kidogo tupate update

    Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya Kuna mzigo nimeonesha ushatua...
  8. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA waweke tozo na kuruhusu magari ya IT (in-transit) kubeba abiria

    Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni iliyotandazwa mashine zinazotumika kuchimba visima vya maji lakini badala ya kuchimba chini kuelekea maji yalipo, wanachimba kuelekea usawa yalipo mabomba ya mafuta...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
  12. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Msafiri ni aliye bandarini

  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TASAC yafuta tozo saba zilizokuwa kero, yawezesha unafuu bandarini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika kipindi cha miaka minne limefanikiwa kufuta tozo saba nyanyaso zilizokuwa ni kero kwa wadau katika sekta ya maji, hivyo kuleta unafuu wa utoaji wa mizigo bandarini. Mafanikio hayo ya TASAC yametangazwa leo jijini Dar es Salaam na Afisa...
  14. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

    Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini. Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Bunge lajadili malori kukwama bandarini

    Ndugu zangu, Wabunge wa CCM wanapiga kotekote ======== Bunge lajadili malori kukwama bandarini Dar Bunge la Tanzania limeahirisha mjadala wa Wizara ya Afya kwa takribani nusu saa ili kujadili sakata la malori kutoshusha wala kupakia mizigo kwa muda wa siku tano katika Bandari ya Dar es...
Back
Top Bottom