bandari

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

    gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
  2. J

    JamiiForums Tanzania Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania UFISADI: Waziri Mkuu amsimamisha Mhazini wa TPA na wengine. CAG aagizwa kufanya ukaguzi haraka

    Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam More to follow ===== WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  5. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yashinda tuzo ya ubora barani Afrika

    11 NOVEMBER 2020 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Edward Qorro THE Port of Dar es Salaam has been voted as Africa's Leading Cruise Port in the 27th edition of the World Travel Awards (WTA), held in London on Tuesday. This is the first time Tanzania's largest port scooped the award in a...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

    Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini mnyonge kabisa. Soma: Serikali iruhusu kuingiza saruji kutoka nje ==== Bei saruji haishikiki 09 NOV...
  7. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

    Hapa kazi tu Zanzibar
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

    CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
  10. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njama ya wanaokwepa kulipa ushuru Kenya kupitia Namanga kutoka bandari za Tazania watibuliwa

    The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania EWURA: Wasambazaji wa bidhaa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuchukua bidhaa kutoka bandari ya Tanga pekee

    EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine. Atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini TZS Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10, au vyote.
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bandari ya Kisumu yaongezeka kwa 62% shukrani DRC, Uganda, Tanzania, Rwanda n.k.

    Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi. Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG The refurbished Port of Kisumu handled 62 per cent more cargo in 2019 due to improved efficiency and a surge in trade, new statistics...
  13. Bess

    JamiiForums Tanzania Siri ya bandari ya Dar kuwa bora kuliko ya Mombasa

    Tuangalie upande mmoja wa gharama; Kutokana na ripoti ya 'Central corridor Transport observatory' wastani wa gharama ya usafirishaji mizigo ni $ 1.90 kwa km 1 kutoka Dsm hadi Kigali kulinganisha na $ 2.10 kwa km 1kutoka Mombasa hadi Kigali Gharama ya Dsm kwenda Bunjumbura ni $ 1.80 kwa km 1...
  14. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Kasanga, Ziwa Tanganyika...

    Tanzania na DR Congo wamekubaliana kuanza ujenzi wa bandari upande zote mbili ndani ya ziwa Tanganyika ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya DRC. Hakika hii itapunguza zile fujo za wale mataifa ya kati pale (yanajijua). ==== Tanzania Yazindua Bandari ya Kabwe iliyoko Mkoani Rukwa...
  15. Wakanda Logistics

    JamiiForums Tanzania Clearing and forwarding (logistics)

    DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading) Dn holdings company limited tunapatikana nkrumaha street p.O.Box 6924 dar es salaam na kamata stesheni ya train. Kwa mawasiliano...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

  17. S

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Gati za bandari na miundombinu Ziwa Victoria kumezwa na maji kutokana na mvua zinazonyesha nchini

    February 10, 2020 Mwanza, Tanzania Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha Afrika Mashariki na Kati pia nchi za Maziwa Makuu kina cha maji ziwa Victoria kinazidi na kusababisha miundo mbinu kama gati za bandari katika ziwa Victoria kumezwa na maji. Upande wa Tanzania Kuna miradi mingi ya bandari...
  19. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TPA yafanya upembuzi bandari za Ziwa Nyasa

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema inafanya upembuzi yakinifu katika bandari zote za Ziwa Nyasa unaolenga kuboresha miundombinu na kuimarisha shughuli za kibiashara katika ziwa a waandishi wa habari katika Bandari ya Kiwira iliyopo wilayani Kyela mkoani Mbeya. Alisema wameamua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu: Siyo kweli bandari ya Dar haiwezi kupokea meli inayobeba makontena 50,000. Kwanza meli hiyo haipo duniani

    Mtaalamu wa mambo ya meli na bandari amesema siyo kweli kwamba bandari ya Dsm ina uwezo wa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba makontena 50,000 kwa mara moja. Mtaalamu huyo aitwaye Julius amemweleza mtangazaji Aloyce Nyanda aka Mtozi wa kipindi cha Ajenda 2020 kwamba taarifa hizo siyo...
Back
Top Bottom