Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu.
Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia.
Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.
Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.
Nawakumbusha...
Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi.
Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja.
Ikumbukwe mradi huu...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti...
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo.
Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza:
Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia.
Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo.
Maendeleo hayana vyama!
bbcCopyright: bbc
Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya.
Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
The Port of Mombasa has surpassed its tax target by more than Ksh 17 billion in the first half of the 2020/2021 financial year.
Customs and Border control department, including its two border points, collected more than Ksh 200 billion beating its Ksh 183.578 target in the July - December...
Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki.
Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk.
Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.