Njama ya wanaokwepa kulipa ushuru Kenya kupitia Namanga kutoka bandari za Tazania watibuliwa

IAfrika

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
264
250
The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from Tanzania into the country without paying the required tax. The unscrupulous traders avoiding the Mombasa port because of its high tech detection system.

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,255
2,000
Yaan wa kenya bwana mna ona mnabigwa bao mnajifanya eti high tech at mombasa port. Acheni mbwembwe admit that you are loser
 
Tim Choice

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,963
2,000
Yaan wa kenya bwana mna ona mnabigwa bao mnajifanya eti high tech at mombasa port.... Acheni mbwembwe admit that you are loser
Mmekamatwa nyie wakora wa kibongo na mpaka huo sasa utawekewa mitambo ya kisasa tena ya ajabu na waliohusika kuhukumiwa, mlipe ushuru ama mtumie mlango wa Mombasa.

Our investigative journalist are top notch, media zetu Kenya kweli na vichwaa......congratulations Kenyan media.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,255
2,000
Mmekamatwa nyie wakora wa kibongo na mpaka huo sasa utawekewa mitambo ya kisasa tena ya ajabu na waliohusika kuhukumiwa, mlipe ushuru ama mtumie mlango wa Mombasa.

Our investigative journalist are top notch, media zetu Kenya kweli na vichwaa......congratulations Kenyan media.
Iv ww una akili ? Mizigo ni ya wa kenya inayo pitia dsm port to kenya via namanga sasa ww iweje useme eti mmekamatwa ? Are you mmad ?
 
Tim Choice

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,963
2,000
Iv ww una akili ? Mizigo ni ya wa kenya inayo pitia dsm port to kenya via namanga sasa ww iweje useme eti mmekamatwa ? Are you mmad ?
Hao wakenya mnashirikiana nao, vinginevyo hamgeruhusu ujanja ujanja wa kutangaza bidhaa zilizomo kwenye vyombo kama bidhaa mnazojua wenyewe sivyo, ilhali vyobo vyenyewe vinatokea Dar na kupitia ardhi yenyu Tanganyika.

Simgekabidhi tu nyaraka za kweli toka bandari ya Dar kwa hao maofisa wa mpakani moja kwa moja ili muondokane na tuhuma na tashwishi kama hizi?
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,255
2,000
Hao wakenya mnashirikiana nao, vinginevyo hamgeruhusu ujanja ujanja wa kutangaza bidhaa zilizomo kwenye vyombo kama bidhaa mnazojua wenyewe sivyo....ilhali vyobo vyenyewe vinatokea Dar na kupitia ardhi yenyu Tanganyika.
Simgekabidhi tu nyaraka za kweli toka bandari ya Dar kwa hao maofisa wa mpakani moja kwa moja ili muondokane na tuhuma na tashwishi kama hizi?
Iv ww unajua unacho ongea au umesinzia kwan serikal mdio inqyo clear mizigo ya client bandarin ? Ww ni shida sana uelewa wako
 
Tim Choice

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,963
2,000
Iv ww unajua unacho ongea au umesinzia kwan serikal mdio inqyo clear mizigo ya client bandarin ? Ww ni shida sana uelewa wako
Hii ni lugha gani umeandika hapo weye Mtanganyika?.......eti hawa ndio waswahili?....hahhahhah.....kalb wahed.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom