johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Mtaalamu wa mambo ya meli na bandari amesema siyo kweli kwamba bandari ya Dsm ina uwezo wa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba makontena 50,000 kwa mara moja.
Mtaalamu huyo aitwaye Julius amemweleza mtangazaji Aloyce Nyanda aka Mtozi wa kipindi cha Ajenda 2020 kwamba taarifa hizo siyo sahihi na zina lengo la kuidanganya mamlaka ya juu.
Kipindi kko hewani muda huu mubashara luningani Star tv.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!