Habari ya uzima ndugu zangu?
Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta.
Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio...
Madereva wa malori yanayotumia bandari ya Dar es Salaam waandamana kulalamikia ucheleweshaji wakushgulikiwa taratibu za mizigo yao na kusababisha kukaa muda mrefu mpaka wa zaidi ya siku moja bandari na wakidai kuwa ucheleweshaji huo ni scanner za humo kutofanya kazi Kwa ufanisi kwa lisaa moja...
TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake...
Bila kumumunya maneno, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kwa 100% kuhakikisha mkataba ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unatekelezwa mara moja, serikali imejipanga kuhakikisha hilo linafanikiwa kwa haraka iwezekano.
Bila kusimamia upande wowote katika hili kwenye mada hii, ninapenda...
Usafiri wa Majini
Kwa kushirikiana na sekta binafsi, kuendelea kuboresha
huduma za uchukuzi katika Bandari za mwambao kwa kufanya
yatuatayo:-
(a) Kuanza ujenzi wa gati Na. 13 na 14 katika Bandari ya Dar es
Salaam;
(b) Kukamilisha uboreshaji wa gati Na. 1 – 7 ili kuimarisha
utoaji wa huduma...
Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.
Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka...
Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa.
Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
Salaam Wakuu,
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani.
Mangula alisema...
Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu.
Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi.
Mzee Mangula hapa nadhani wa kumuuliza zaidi ni mwenyekiti wake ambae alisema ana habari njema kuwa wamefufua...
Ni ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
Serikali inatakiwa kuwekeza na kuendeleza bandari ya Tanga badala ya kujenga bandari mpya isiyo na ulazima na kuingiza nchi kwenye madeni yasiyo ya msingi kwa manufaa ya viongozi wachache.
Bandari ya Tanga tayari kuna uwekezaji mkubwa unakuja na pesa za kampuni ya Total ya ufaransa ambayo...
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha.
Tukiwa na bandari ya...
SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Chanzo: ITV...
Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi.
Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
Mheshimiwa wakati unaingia madarakani , wazanzibari wengi nyoyo zetu zilifarijika kwa jinsi ulivoanza kuchapa kazi.
Ziara yako ya bandarini iliibua matumaini kwamba yajayo ni neema tupu.
Mwaka mmoja sasa tokea ushike madaraka , hakuna kilichobadilika zaidi ya kuongezeka kwa usumbufu wa utitiri...
Wakuu,
Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya.
Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini.
Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini...
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc
Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
Mwanzo | TRC
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021.
Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...