bandari

  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

    Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa alibainisha jana kuwa hawatalazimika kusubiri zaidi wawekezaji kuanza ujenzi wa bandari hiyo. "Wawekezaji wataungana nasi...
  2. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE) Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi...
  5. JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  6. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Jamani kwema Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa. Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa NB. Kwenye suala na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
  9. JamiiForums Tanzania Uboreshwaji wa Bandari ya Mtwara umeleta mageuzi

    Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya. Uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika uboreshaji wa Bandari ya Mtwara umegeuza bandari hiyo kuwa tegemeo la...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkabata

    Na Marato Sinda, Dar es Salaam Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao wameitaka serikali kutoipa mkabata mpya kampuni hiyo kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoota ni reflection ya utumbuaji wa Bosi wa Bandari na Mkurugenzi wa Jiji

    Habari za mchana wadau, Basi bhana, jana nikiwa ndani ya treni kama kawaida nikielekea home. Basi bhana ghafla nikaskia taarifa ya habari kutoka Idhaa ya Kiswahili sauti ya Japan, nikaskia mtangazaji akisema "Dar-es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya bosi wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

    Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona. Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo. Lakini kwa wakati mwingine...
  14. JamiiForums Tanzania Rais anataka nini kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari?

    Kuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa. Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija...
  15. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Amani iwe nanyi Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis. Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Mobutu wa Zaire alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?

    Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi? Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
  17. JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele, Bandari ya Mtwara yazidi kuleta neema

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara. Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Short course chuo cha Bandari

    Habari wapendwa! Naombwa kujuzwa ndugu zangu, Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari kwa lengo kile cheti kinisaidie kutoka halmashauri kwenda kule tpa vp hili jambo linawezekana? Na ipi...
  19. JamiiForums Tanzania Sijapenda Rais Putin kuruhusu usafirishaji chakula kutoka bandari za Ukraine

    Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
  20. JamiiForums Tanzania Sasa rukhsa Meli kubeba chakula kutoka bandari za Ukraine zilizotekwa

    Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…