bandari

  1. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mchango wa kuwezesha kesi ya bandari umefikia wapi?

    Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap? Je walisema kuwa mchango umetosha? Je walipata kiasi gani? Matumizi yake? Je watz au...
  7. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yasema haitorudi nyuma uwekezaji wa bandari

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitarudi nyuma kuhusu uwekezaji katika bandari kwa sababu uwekezai huo uko kwenye ilani ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo alibainisha hayo jana kwenye ziara yake ya kutoa elimu kwa wananchi kahusu uwekezaji katika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima aliyewaburuta Kortini Mbarawa, Mwigulu, Makamba ufisadi Ripoti ya CAG kuunguruma mkutano wa Bandari leo

    MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  11. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo amvaa Spika Tulia Mkataba wa Bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wassira ahusisha sakata la bandari na mbio za urais 2025

    Hello JF, Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai. Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais. Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
  16. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo post zake siku hizi hazina wachangiaji kwa sababu hazingumzii Issue za bandari

    Kwa Sasa ukiangalia post nyingi za Milard Ayo hazina (hazitrend ) hata kidogo Kwa sababu hapost kabisa mambo yanayoendelea kuhusu ubinafishishaji wa Bandari ya DSM na bandari nyingine Kwa DP WORLD. Issue ya bandari imekuwa hot cake Kwa kila mtu anayepita mtandaoni.Hata Yanga na Simba na usajiri...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

    Tarehe 24/10/2007 Balozi Dr. W.P. Slaa, akiwa viwanja vya Mwembeyanga Temeke alitaja majina 11 akiwemo Rais mstaafu Mkapa na Rais aliyekuwa madarakani Mh Kikwete kuwa ni miongoni mwa Mafisadi wa nchi. Akiongea na waandishi wa habari kwenye hotel ya Regency 13 June, Slaa alisema, “Waliohudhuria...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wamejaribu kutusahaulisha Bandari zetu lakini wapi!

    Heshima sana wanajamvi, Tangu sakata la kuuzwa Bandari za Tanganyika tumeshuhudia maigizo,vibweka na Mbwembwe zikifanyika nia na madhumuni ni kutusahaulisha juu ya kuuzwa Bandari zetu kwa waarabu wa hukoooo Dubai UAE. Walianza na karata ya kununua magoli kabla hatujakaa sana wakatuletea ujanja...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Chaya - Msikubali Kupotoshwa na Wazushi, Bandari Haiuzwi

    MBUNGE DKT. CHAYA - "MSIKUBALI KUPOTOSHWA NA WAZUSHI, BANDARI HAIUZWI" Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya, amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari, na kuzuka kauli za kwamba Mhe. Rais Samia ameuza nchi. Mhe. Dkt. Chaya ameyasema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
Back
Top Bottom