SoC03 Suluhisho juu ya bandari na mitaala ya elimu kwa Tanzania na jinsi ambavyo tutapata unufaikaji

Stories of Change - 2023 Competition

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,609
17,809
NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO

Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa Majukwaa Mengi kwa sasa Yanavyoinasibu kuwa Bandari inawekezwa kwa sababu kuna upigaji Sina Takwimu halisia).

images (70).jpeg


SO UWAPE WAARABU HIZO BANDARI WATUSAIDIE KUDHIBITI HUO UPIGAJI?

images (71).jpeg


NAWAZA KWA SABABU HII SI NI SAWA NA KUSUGGEST KWAMBA UKOLONI URUDI KWA SABABU TUNA MFUMO WA ELIMU UNAOTOA WAHITIMU WASIOHITAJIWA NA SOKO LA AJIRA HUKU SOKO LA AJIRA LIKITUMIA WASOMI WAGHAIBU (FOREIGNERS)?

Hili swala sio mara ya kwanza kulisikia, utasikia Tanzania nzima hakuna msomi fulani kwa ajili ya kufanya kazi fulani hivyo tumeajili Mtaalamu kutoka nje ya nchi atusaidie....IMEKUWA KAMA NYIMBO

download (1).jpeg


SASA NINI KIFANYIKE⁉️


Anyway Keys

Ajira ni kazi yoyote inayompatia mtu ujira (mshahara, mauzo ya bidhaa/huduma, heshima n.k.). Mwajiri ni yeyote anayenunua bidhaa/huduma

KUHUSU SWALA LA KAZI NA AJIRA

1. Wizara yenye dhamana ya kazi ifanye
Labor market survey ili ijulikane ni competences zipi zinazohitajika kwa kila aina ya taaluma katika soko la ajira (4% walipwa mshahara + 96% wauzaji wa bidhaa/huduma).

2. Kwa kuzingatia aina ya competences zinzohitajika, Wizara ya elimu ifumue mfumo wote wa elimu ili mtaala uelekeze kufundisha tu kile kinachotakiwa na soko la ajira.

3. Kabla ya kutoa mikopo ya vyuo vikuu kila mwaka, Wizara yenye dhamana ya kazi ifanye annual labor market survey ikiwa ni pamoja na running projection kwa miaka mitatu inayofuata ili kujua idadi ya wahitimu wanaohitajika kwenye ajira za mishahara au soko la ajira. Hii itaondoa changamoto ya graduates wasiohitajika wakati kuna taaluma kama udaktari zenye uhaba mkubwa sana.

images (73).jpeg

÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷

Educated people know theories but cannot interprete them into practice.

Au Ndio hawa 96% wanaofeli law school au wanaopigwa chini kwenye zabuni za Serikali

Learned people make innovations to synergize theories for best practice

====================
Kusomesha watu usiojua watakachokifanya baada ya kuhitimu ni hatari kuliko bomu la Hiroshima na Nagasaki

Hawa wasomi wetu hawawezi kutumia usomi wao kujipatia kipato. Wanaishia tu kuwa Panyarodi, machinga na madereva wa Bodaboda

images (72).jpeg


⛽ wanaofanya biashara kubwa za kimataifa (import & export) zinafanywa na foreigners. Mtz akijitahidi sana ata import ki IST cha kufuatia sukumawiki, matango na tikitimaji Kariakoo.

💊💉wanaovumbua dawa. Dawa kwa magonjwa ya kutibu africans (malaria, HIV) zinavumbuliwa na foreigners. Huku tumebaki na sangoma, wapiga zongo, ndumba na kurogana tu.

🏥 watz wanaotaka kutibiwa na tz doctors. Watz hawataki kutibiwa na tz Doctors. Wanaotibiwa na watz ni wale tu ambao kipato chao kinawabana.

🚌 watz hawataki watoto wao wafundishwe maths & science na watz. Wanaowapeleka huko watoto wao ni wale tu ambao wana mgogoro wa vipato.

😇 negotiations za mikataba ya kimataifa kwa ajili ya tz zinafanywa na foreigners.

🚛 wanaoshinda zabuni za Serikali kujenga barabara za TANROADS karibu zote ni foreigners. Barabara za mwendokasi zinajengwa na foreigners.

🏯wanaoshinda zabuni za kujenga maghorofa marefu ambayo hayakuporomoka yakiwa yanajengwa. Unipe pia sababu kwa nini fence ya CBE Dodoma (inayogusana na fence ya ukumbi wa Bunge) inajengwa na mchina wakati udsm inatoa engineers zaidi ya miaka 50 sasa.

🥢Tumeachia waghaibu hadi kazi za kutengeneza mifagio ya Kongowele (majani ya minazi) au toothpick. Ningetegemea maeneo kama Kongowe (Mbagala & Kibaha) pawepo viwanda vya mifagio ili kuenzi japo waasisi wa hizo kazi. Naona yamebaki majina tu.

🌾Hata mashamba makubwa ya miwa (sukari), mahindi, mpunga ,Mikonge etc ni foreigners wote
Watz ni manamba tu.

Solution yake sio Mikopo Mingi au Mikopo Inayotolewa na Serikali (JAPO KIUKWELI INAJITAHIDI SANA KUITOA MIKOPO HIYO SIFA KWAO)

Solution yake ni kuboresha mfumo wa elimu uwawezeshe watz kushinda zabuni za Serikali _(ambaye hulipia gharama zote za kazi - hakuna sababu ya mkopo‼️).

VIdeo ya Spika wa bunge mstaafu akieleza kuhusu nachosema hapo juu.



Asanteni.
 
Sawa mkuu ila mbona umechanganya sana lugha
Mkuu unamaanisha kiswanglish au maana hiyo ndo lugha siku hizi vijana wanaelewa ukiandika kiswahili tupu watakuambia hawajaelewa ma ukiandika english tupu wanasema hujawasesha so inabidi kuchanganya apo nfo huwa wanaelewa sana
 
Mkuu unamaanisha kiswanglish au maana hiyo ndo lugha siku hizi vijana wanaelewa ukiandika kiswahili tupu watakuambia hawajaelewa ma ukiandika english tupu wanasema hujawasesha so inabidi kuchanganya apo nfo huwa wanaelewa sana
OK subiri majaji uone kama utapata hata 1000 ya maji
 
Back
Top Bottom