bandari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Chongolo anaunguruma Dar es Salaam kujibu hoja za Bandari

    29 Julai 2023 Dar es Salaam, Tanzania MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM, KUUTETEA KWA NGUVU MKATABA WA BANDARI CCM yaanda mkutano uliowakusanya wana CCM kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam unaoendelea katika viwanja vya Kawe mjini Dar es Salaam KISHINDO CCM KANDA YA MASHARIKI Kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

    Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza. === Chopa...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna watafuta majina na wale wanaomanisha, ngoma ya bandari bado mbichi sana

    Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
  7. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

    Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world. Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way. Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za kupinga mkataba wa bandari

    Mambo ni moto
  9. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

    Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje. Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

    Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni. Tetesi zinasema tayari wanachama wengi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Wizara afichua siri nzito mkataba wa bandari

    Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari. Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa Balozi Katanga na Diwani Athumani kuna uhusiano wowote na mkataba wa Bandari

    Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani ikidaiwa kuwa kuna uhusiano na misimamo waliyokuwa wameweka kuhusu mkataba wa Bandari. Baadhi ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GAS Mtwara vs Bandari Tanzania

    Miaka michache kabla ya utawala wa JK kufikia tamati kuliibuka swala la GAS Mtwara, kwa maneno ya Wapinzani mkataba wa Gas Mtwara ukapata pingamizi kubwa zaidi ya pingamizi zinazoonekana leo, hata kufikia wakati Jeshi likaingizwa kazini ndio mkandarasi aweze laza mabomba ya gas. Mabomba hayo leo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda - Wapuuzeni Wanaoichafua CCM Juu ya Suala la Bandari

    NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Zainab Shomari wakiambatana na Kamati ya Utekelezaji wamewasili Wilayani Namtumbo na Tunduru Mkoa...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

    Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  19. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    #Update KESI YA BANDARI. Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20 MAJAJI watatu; 1. Hon. Ndunguru 2. Hon. Ismail 3. Hon. Kagomba Wote wameinama wanaandika Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote. MAWAKILI WA SERIKALI; 1. Adv. Mark Muluambo 2. Edson Mwaiyunge 3...
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
Back
Top Bottom