bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Tuk tuk trut tuuu tuuu paaa!

    😅 Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Daladala kugoma Februari 16, wanadai bajaji zinakwapua abiria wao na kuwamaliza

    Wamiliki na madereva wa daladala jijini Mwanza wamesema watasitisha kutoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa jiji hilo kufuatia uwepo wa bajaji mjini zinazobeba abiria katika vituo vya daladala na kupelekea wao kushindwa kufanya kazi. Hayo yamebainishwa kwenye kikao maalum kilichowakutanisha...
  3. blogger

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

    Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu. Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri. Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
  4. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

    Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bajaji hazipaswi kabisa kusafirisha abiria barabara kuu

    Bajaji zililetwa kama usafiri wa walemavu. Baadaye zikaruhusiwa kusafirisha abiria kutoka maeneo ya pembezoni kuja barabara kuu. Leo hii sehemu nyingi zimegeuka usafiri barabara kuu. Na hili ni baada ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakuu wa polisi kuona ni biashara nzuri na kuianza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki & Bajaji

    Unahitaji pikipiki au BAJAJI kwa Ajili ya mutumizi yako binafsi, biashara au taasisi karibu tukuhudumie TVS, BOXER, HERO na aina zingine zote zinapatikana. kwa Dsm pekee Tupigie 0652659775 au 0620617985
  9. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie mwakani ninunue bajaji ya abiria

    Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji. Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
  10. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  11. Cherry123

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Lori na Bajaji yaua wanne Mafinga

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori kugongana na Bajaj katika eneo la Kinyanambo- Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dk Victor Msafiri amesema ajali hiyo ilitokea jana usiku. Dk Msafiri amesema walipokea miili ya wanaume wawili, mwanamke...
  13. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Kakoswa koswa kugongwa na gari akamtukana dereva, hajafika hatua mbili akagongwa na bajaji (Karma is real)

    Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Umesema Hauna kampuni hata ya bajaji una uhakika? Vikimwagwa vielelezo usianze kulialia...

    Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo...
  15. lushalila

    JamiiForums Tanzania Kuna katazo la bajaji kuingia katikati ya jiji la Dar Es Salaam?

    Wanajamii forum, Toka wiki iliyopita kuna kamatakamata ya bajaji kwa kigezo kwamba kuna katazo la bajaji zisizoendeshwa na walemavu kuingia mjini. Binafsi sijasikia katazo Hilo naomba anayejua zaidi tujuzane.
  16. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bodaboda na Bajaj zapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Aprili 21, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iringa: Dereva Bajaji atupwa Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10. Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
  20. cpb

    JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya kuleta hesabu Dodoma

    Habari wapendwa, Niko Dodoma natafuta bajaji ya kuendesha na kuleta hesabu niko Dodoma. Naomba mwenye connection tuwasiliane.
Back
Top Bottom