Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
5,465
11,233
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.

Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?

Wenye uzoefu biashara hii mnaifanyaje?

IMG_20221229_184329.jpg
 
Biashara za vyombo vya usafiri huwa ni pasua kichwa. Hii ili upate faida mara nyingi wewe ndio uwe dereva au uwe makini sana kwenye usimamizi. Pia sahivi bajaji zimekuwa nyingi yaani kila kona zipo, je zako ni mpya au used?

Unadhani ni wapi unakosea kwenye biashara? Kabla ya kuanza hukusoma soko na kujua changamoto zake?

Maana inabidi uwe na cash ya ziada yaani usitegemee mfano matengenezo yatoke kwenye hela ya biashara. Hapo utafeli, pambana mkuu life ni vita
 
Salamu Ndugu, Naomba kuuliza Hizo bajaji zote ni za kwako? Je kama umewapa vijana, mkataba unasema Je katika issue nzima ya matengenezo/ukarabati wa Bajaji?

Asante.
 
Umewapa vijana if yes hesabu Maumivu
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
 
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
Niuzie
 
Biashara za vyombo vya usafiri huwa ni pasua kichwa. Hii ili upate faida mara nyingi wewe ndio uwe dereva au uwe makini sana kwenye usimamizi....
Hii biashara Kuna kikundi cha vijana wenzangu wamepata mkopo Kwa proposal. Sasa suala lipo kwenye utaalam wa kuendesha biashara hii.

Toka nimerudi hapa wamenisimulia na nimeona niwasaidie kutafuta wadau kwamana hawatoboi kulipa deni. Hesabu zimeshuka na Bajaji 3 zote ziko chaka, moja ndo imepona Leo na nyingine ilipo a wiki iliyopita.

Wamefanikiwa kununua pikipiki mbili ndo zinasidia kulipa marejesho. Wanatakiwa kulipa mil 2 kila mwezi.
 
Hii biashara Kuna kikundi cha vijana wenzangu wamepata mkopo Kwa proposal. Sasa suala lipo kwenye utaalam wa kuendesha biashara hii. Toka nimerudi hapa wamenisimulia na nimeona niwasaidie kutafuta wadau Kwa mana hawatoboi kulipa deni. Hesabu zimeshuka na Bajaji 3 zote ziko chaka, moja ndo I Epona Leo na nyingine ilipo a wiki iliyopita. Wamefanikiwa kununua pikipiki mbili ndo zinasidia kulipa marejesho. Wanatakiwa kulipa mil 2 kila mwezi.
Mkuu ur the outside watcher?
If yes je wewe umetafutwa kutoa ushauri?

Uo mradi wenu umekosa mikataba ambayo hipo strictly

So Ushauri wangu Fanyeni kikao Cha dharura kwanza
 
Back
Top Bottom