Mungu nisaidie mwakani ninunue bajaji ya abiria

Bundakwetu

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
551
1,006
Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji.

Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
 
Dua zangu zote ili ufanikiwe, ila usiwe kama Bajaji za huku Temeke huwa zinakuwa Bize nyakati za jioni, kupakia "Mizigo" ya watu inaenda kuliwa Guest Bubu za Tandika huku ikiwa ndani ya Baibui.
 
A
Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu eee mwenyezi Mungu nisaidie.
Amekusikia.
 
Mleta mada Mungu akusimamie ufikie lengo lako,nawajua watu vyeti wameweka kabatini wanaendesha Bajaj wanalisha familia na wanaenda kusimamia ujenzi wa nyumba zao kila weekend.

NB;ukifikia hatua hiyo nunua TVS hii ndo uhakika kama mtunzaji approximately miaka kumi upo nayo barabarani.
 
Dua zangu zote ili ufanikiwe, ila usiwe kama Bajaji za huku Temeke huwa zinakuwa Bize nyakati za jioni, kupakia "Mizigo" ya watu inaenda kuliwa Guest Bubu za Tandika huku ikiwa ndani ya Baibui.
Hapana mkuu nitafanya kazi iliyotukuka
 
Dua zangu zote ili ufanikiwe, ila usiwe kama Bajaji za huku Temeke huwa zinakuwa Bize nyakati za jioni, kupakia "Mizigo" ya watu inaenda kuliwa Guest Bubu za Tandika huku ikiwa ndani ya Baibui.
Vijana wanakosa nidhamu!

Mmoja nilimpa chuma hela haleti siku hiyo nikamfanyia ambush nikamnyang'anya kuifanyia ukaguzi nikakutana na box za condom mpumbavu Bajaj amegeuza chombo cha kubebea wanawake zake.
 
Wenye uaminifu hatupati sijui kwa nini yani
 
Mleta mada Mungu akusimamie ufikie lengo lako,nawajua watu vyeti wameweka kabatini wanaendesha Bajaj wanalisha familia na wanaenda kusimamia ujenzi wa nyumba zao kila weekend.

NB;ukifikia hatua hiyo nunua TVS hii ndo uhakika kama mtunzaji approximately miaka kumi upo nayo barabarani.
Shukrani mkuu
 
Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji.

Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu akuwezeshe kufikia maono yako.
 
Mleta mada Mungu akusimamie ufikie lengo lako,nawajua watu vyeti wameweka kabatini wanaendesha Bajaj wanalisha familia na wanaenda kusimamia ujenzi wa nyumba zao kila weekend.

NB;ukifikia hatua hiyo nunua TVS hii ndo uhakika kama mtunzaji approximately miaka kumi upo nayo barabarani.
Kwa nini umesema TVS na sio kampuni zingine mkuu?
 
Back
Top Bottom