bahati

David Bahati (born 8 June 1973) is a Ugandan accountant and politician. He is the State Minister of Finance for Planning in the Cabinet of Uganda. He was appointed to that position in a cabinet reshuffle on 1 March 2015, replacing Matia Kasaija. He is a Member of Parliament for the constituency of Ndorwa West in the Parliament of Uganda and is a member of the National Resistance Movement, the ruling party. He is chief of the Scout Board of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni bahati ila kuwa na maisha Mazur sio

    Mzuka wanajamvi! Wabongo wengi tunatofautisha kuwaTajiri na kuwa na maisha Mazuri ama bora. Wataalamu wa uchumi wanasema Tajiri ni yule ambaye ana utajiri ama hela kwa anzia dollars za kimarekani million moja au kulingana na kiasi hicho. Huyo ni tajiri kwasababu ana 'financial freedom'. Na...
  2. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Hakunaga mimba ya bahati mbaya

    Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga.... Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kama Bahati vile ila unaweza sema Mungu kampendelea Rais Samia

    Amani iwe nanyi wadau, Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha. Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa...
  4. dalalitz

    JamiiForums Tanzania DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwambali naanza kuielewa system yanatokea hayatokei kwa bahati mbaya chadema wanasaidiwa Ila hawaoni

    Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi. Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za IGP za karibuni ni bahati mbaya, makusudi, mazoea au kuchoka?

    Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa. Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi ambayo kwa kweli hayaangukii katika hizo sifa ambazo Mimi binafsi niliwahi kushuhudiwa kuwa anazo. Kauli...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani hawajaiacha Afghanistan kwa bahati ambaya. Huenda wakamtumia jasusi wao aliyekuwa makamu wa Rais, Amrullah Saleh

    Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul. Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae amekimbilia Oman amedaiwa kutoroka na kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki kuu ya Afghanistan na magari...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Mahakama zinaingiliwa kwa bahati mbaya?

    Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa? Nawasilisha.
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Nahodha huyu anaungwa mkono na nani?

    Yule wa kipindi kilee, aliyependa kusafiri kama Vasco da Gama aliungwa mkono na walioitwa wanamtandao. Na yule aliyekuwa akipenda kazi na kuongea kwa kujiamini sana aliungwa mkono na abiria waliouchukia ufisadi. Japo baadaye huyu nahodha alibadilika na kuwa katili asiyeelezeka. Akachukiwa na...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bahati ya mtende ilipotuangukia

    Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola. Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Je, Mbu anaweza kuambukiza UKIMWI endapo mtu akimla/meza kwa bahati mbaya?

    Napenda tuangazie kwa undani juu ya mbu! Mbu ni mdudu mdogo sana anaesumbua miji mingi Africa na sehem ya Ulaya! Pamoja na kwamba mbu anatajwa na watalam wetu kuwa hawezi kuambukiza ukimwi kutokana na vile anavyonyonya damu! Inatajwa kwamba Mbu hususani aina ya Anofeles mwenye mdomo wenye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajaoa na kwa bahati wanajua kusoma kiingereza waraka wenu huu

    Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife. You will never finish making money or achieving your plans. You might still not succeed at your target year. So start your life early...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lina bahati mbaya sana, mwaka 1984 yalitukumba pia

    Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu. Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro. Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko...
  19. Kuku kwiyoyo

    JamiiForums Tanzania Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Je, Kassim Majaliwa ni mwenye bahati ya kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 15 kuanzia 2015 hadi 2030?

    Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030. Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa...
Back
Top Bottom