bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Alikiba sio wa kufa kimziki leo, bado sana

    Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

    Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai. Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida. Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka wanaongea na simu wakati mjadala ukiendelea bado tunajiuliza kama hii ni geresha?

    Wakuu, Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti? Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
  8. JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

    Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema: Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali ni njema...... Mmenielewa ndugu zangu?? Waandishi wakaitikia ndioooo!
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Tatu ni mhimu. Katiba ya Warioba iendelee

    Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole. Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi. Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja na hii ya Sasa zinamapungufu mengi.
  10. JamiiForums Tanzania Je, wajua Djibouti walivunja mkataba na DP-World?

    Haya mijadala inaendelea kuhusu uwekezaji wa bandari, hoja nyingi zikitolewa kutokana na masharti ya mkataba huo ambao unaonekana utaathiri uchumi wa Tanzania badala ya kuuendeleza. Kampuni ya Dubai inayosimamia bandari Zaidi ya 78 katika nchi 40 duniani imekuwa na kashfa kadhaa za ukwepaji...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CCM bado awajatoa msimamo wao kwenye huu mkataba, maana yake wanasema Bandari ziuzwe

    Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu. Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe. Mara viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Yusuph Bakhresa amesema bado Mayele na Diara amalize kazi

    Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki. Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa Yanga sc, Mayele pamoja na diara. Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Feisal umemalizana na uongozi bado ujamalizana na mashabiki na wanachama wa yanga wenye hasira kali juu yako

    Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka. Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
  14. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  15. JamiiForums Tanzania Tupac bado yupo sana

  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

    Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
  17. JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama bado hujaoa soma hapa - Mke mwema

    Mithali 31:10-31 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za...
  19. JamiiForums Tanzania Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

    Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao. Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe ushamba bado unaendelea…

    Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo. Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge. Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake! Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena? Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya. Nilidhani Bi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…