bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Slim5

    JamiiForums Tanzania Tupac bado yupo sana

  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

    Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  4. jhope

    JamiiForums Tanzania Kama bado hujaoa soma hapa - Mke mwema

    Mithali 31:10-31 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za...
  5. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

    Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao. Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kumbe ushamba bado unaendelea…

    Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo. Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge. Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake! Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena? Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya. Nilidhani Bi...
  7. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

    Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

    Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ziada Seukindo (Meneja Programu JF): Uelewa wa Sheria za Mtandao kwa watu bado ni mdogo

    Picha: Ziada Seukindo Meneja Programu JamiiForums Ziada Seukindo, Mtetezi/mchechemuzi wa haki za kidigitali na mtaalamu wa ushiriki wa wananchi mtandani na program meneja jamiiForums ashiriki mahojiano na Redio ya Kiss FM katika mjadala unaosema, Sheria za mitandao kutofahamika vizuri miongoni...
  11. Zacht

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bado kidogo waseme "wananchi" wataanza kusema walichokuwa wanawacheka nacho simba: Tumekufa kiume!

    Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume".
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

    MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa. Rais wa nchi - Tiketi 5,000 Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000 Benki ya NBC - Tiketi 5,000 Benki ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wale waliozoea tarehe 22/23 kila mwezi mambo kuwa mazuri naona mwezi huu bado ATM zimenuna, Kulikoni?

    Isije ikawa ni athari ya biashara kariakoo kufungwa! Si mnajua serikali huwa haina ujanja mwingine zaidi ya kodo?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky bado anaweweseka; anashindwa kukubaliana na ukweli kuwa Bakhmut imeshatekwa

    Zelensky anatia huruma, hataki kuamini kuwa habari za kutekwa Bukhmut ni halisi!! Anatamani iwe ni kama ndoto ili atakapotoka usingizini aseme Ah! kumbe ni ndoto tu. Lakini huo ndio ukweli, aliwekeza nguvu zake zote kuilinda ngome yake kubwa ya Bukhmut. Wakati msaidizi wake amekubali kuwa...
  17. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka

    Kuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia mapambano na kwamba hii itasababisha Wagner kuzingirwa, huyu leo ameibuka na kusema Bakhmut yote wameichukua...
  20. fungi06

    JamiiForums Tanzania Masijala wanakwamisha shughuli za Watu na Serikali

    Wakuu ivi huyu masjal ni nani? Maana sikuizi ofisi za serikali nyingi ukienda kufwatilia maswala ya msingi..unaskia "barua yako haijajibiwa na masijala njoo mwezi ujao au mwakani njoo" Kirahisi rahisi ivyo? Ikumbukwe kua binadamu anaishi vizuri kwa kumtegemea binadamu mwenzake.. Pale...
Back
Top Bottom