bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawajifunzi! Alikuja Kakobe, akawatapeli akatajirika, akawatosa. Akaja T B Joshua. Leo amekuja Mwamposa, anawatapeli, bado hawajashituka!

    Wabongo mbona hatujifunzi na utapeli wa dini? Wanaibuka wahuni wanawapiga hela majitu yamezubaa. Leo Mwamposa anatangaza Keki ya Upako. Majitu yananua kwa bei kubwa kipande! Eti atapata mimba akila kipande hicho! Ndiyo maana ukombozi wa TANGANYIKA unakuwa mgumu kwa aina ya watu kama hao!
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge waliopo Dodoma wanastahili kuitwa waheshimiwa Bado?

    Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia Nape Samia Bulaya Samia Kingu Samia Samia Samia Samia Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia? Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi? Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
  3. JamiiForums Tanzania Unamkuta mwanamke amezaliwa mweupe kabisa, halafu tena bado anajichubua, hivi hali hii huchochewa na nini?

    Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona. Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa? Unakuta binti kaiva sura...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Deep down ni kweli Wanawake bado wanataka 50/50?, uhalisia Makazini na Majumbani ukoje?

    Wakuu habari, So nimerudi tena baada ya mazungumzo mengine marefu na rafiki yangu aliyeniita 'Toxic' Wakati huu tulikua marafiki kadhaa wanaume kwa wanawake tukipiga stori hasa Ubingwa wa Arsenal na baadae mada ikafikia huku baada ya jamaa yetu mmoja kuuliza "Hivi kwa nini wanawake mliamua...
  5. JamiiForums Tanzania IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

    Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
  6. JamiiForums Tanzania Makonda huwezi kuwa Rais, Mafwele huwezi kuwa IGP. Bado US/EU yuko njian KUDEAL na Wauaji wa Okt 29, Wanaopiga Vita UKRISTO, Kuteka na Kuua MAPADRE

    US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha". Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA. Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa sub-saharans bado tunaamini sababu ya tabu zetu ni wazungu?

    Mimi nafikiri ni mengi tumefichwa na tukaruhusu kufichwa zaidi Ila naamini hadi sasa mnaelewa mchawi wenu ni nani
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

    Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na wengine ambao kwao muda huu ndio kama kumekucha Lakini kama wewe haupo kwenye kundi hilo halafu mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu. Ukiweka akiba ya Shilingi benki leo, kiuchumi unakutana na vitu viwili vinavyokula mtaji wako kimya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaofanya kazi kwa bidii bado wanakufa maskini?

    Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia. Kufanya kazi kwa bidii peke yake hakujawahi kuhakikisha utajiri. Jasho peke yake halijawahi kutoa uhuru. Jitihada peke yake hazijawahi kumkinga mtu na umaskini. Watu wengi wanafanya kazi kila siku… Lakini wanastaafu wakiwa hawana kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  13. JamiiForums Tanzania Presicion Air bado wapo mwaka 1999

    Aisee sijawai kuona kampuni ya usafiri wa anga ya hovyo kupata kutokea duniani kama hii. Hii kampuni kwanza customer care yao ni mbovu bora hata shabiby hawa jamaa unaweza kupiga simu wiki nzima usipate kuongea nao na kupata msaada wa safari kwanza advertise namba ya kulipia ticket ni Lipa...
  14. JamiiForums Tanzania Drake ni G.O.A.T, wamejaribu kukandamiza carreer yake ila mwana bado yupo hai, tangu jana nakula hits after hits kwenye hizi projects zake mpya

    https://youtu.be/fpr2AM8ziEs?si=vXyJlGXoQ2wbgbfP
  15. JamiiForums Tanzania Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu. Mimi naona...
  16. JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
  17. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Alex Msama bado anatafutwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imesema inaendelea na msako wa Alex Msama ili ajibu mashtaka yanayomkabili Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam ijumaa, Mei 15, 2026, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kinondoni, Elizabeth Mokiwa, amesema tangu...
  18. JamiiForums Tanzania Kadri mtu anavyozidi kuwa masikini ndipo anavyozidi kuingia gharama ya kutafuta sifa kuwa bado na yeye yumo

    Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri. Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  20. JamiiForums Tanzania Leo mtatema sana Nyongo zenu juu ya Kipa wenu Djigui Diara na bado......!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…