Presicion Air bado wapo mwaka 1999

Presicion Air bado wapo mwaka 1999

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,102
Reaction score
4,082
Aisee sijawai kuona kampuni ya usafiri wa anga ya hovyo kupata kutokea duniani kama hii.

Hii kampuni kwanza customer care yao ni mbovu bora hata shabiby hawa jamaa unaweza kupiga simu wiki nzima usipate kuongea nao na kupata msaada wa safari kwanza advertise namba ya kulipia ticket ni Lipa namba ya voda.

Jamaa wapo nyuma ya kila kitu na sijui wanafanya nini hapa nchini ni bora wakafunga tu na airtanzania ku take over hiyo mikoa wanayo enda. Jamaa kila sehemu wapo kimya hata katika mitandao ya kijamii ni hawajibu sms hata mwezi unapita .Sasa sijui wana idadi ndogo ya wafanyakazi au ni vip

Jamaa wanatakiwa kubadilika na kuenda na wakati la sivyo watamfatuta mchawi kila siku.

Ila jamaa ni zaidi ya hovyo huduma zao
 
Pole sana mkuu, dunia ndivyo ilivyo huku Makongolosi tunapambana na Sasebosa Bus.... ukipita Bintimanyanga, Lupa nadi Kitunda ni vumbi unafika mwekundu.....🤣 lakini tuna enjoy maisha kama kawaida Ndaule.....😜
 
Sio poa jamaa, maana hua akifika pale Rungwa/e hua anashuka kibabe anaenda kwa mama niwekee pale anajaziwa wali na nusu kuku na kachumbari imejaa kibeseni....😜
Kuna siku tupo Lupa. Mzigo ulipiga pancha cha ajabu jamaa hakusimamisha ila aliuliza tuu

""Konda hyo ndani au nje ""
Konda akasema ndani..
Jamaa mbeleee hakusimama moaka tunafika chunya ndo akabadili tairi
 
Tumia hii email uwa wanajibu
contactcentre@precisionairtz.com
Nilitumaga jioni, ikajibiwa saa 2 uck

AirTz hata email hawajibu..
IMG_1931.jpeg
 
Lipa kwenye namba ya voda alafu hujui ticket yako unaipataje ndio utakua ujuo
Bado sijaona tatizo la lipa no.
Labda kama wana issues zingine ulizotaja. Sijawahi kupanda precision air, lakini nimemkatia mtu tiketi zaidi ya mara tatu, ukishalipa unapokea tiketi yako instantly Kwa email, maana tiketi ikilipiwa mfumo unaonesha.
 
Shida sio wao shida ni serikali zetu.Serikali ingejikita kwenye viwanja vya ndege kila wilaya na mikoa hata muwekezaji anaweza kuwa nguvu ya kukunulia ndege nzuri au kuongeza wafanyakazi.

Ni nunue ndege bilioni alafu ikashuke mpanda kwenye udongo.Kwani ni ndege za UN.
 
Back
Top Bottom