bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

    Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi. kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
  2. Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  3. Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka kamji.... Na bado kameshindikana. ================ Kiev, April 6, (dpa/GNA) – Ukrainian soldiers...
  4. Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Salaam kabla ya habari. Jana kuna report imeeleza. Mikoa ya 1. Dodoma. 2. Singida. 3.Tabora. 4. Kagera. Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah. Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka...
  5. Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  6. F

    Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  7. Nikiangalia hapa naona kabisa kama Taifa, bado tunasafari ndefu

    Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious. Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na hiyo dira hakuna, ila kunamchakato wa maandalizi. Unaweza kuona tuko nyuma kisi gani?! Seriously...
  8. Bado sisi ni watumwa

    Habari za wakati huu wanajukwaa.. UNATAMBUA kuwa wewe bado ni mtumwa ambaye uko huru. Tunaambiwa tumepata huru mwaka 1961 huru tulipewa sio kwamba tulipigana na huru huu tulipewa kwa mkataba ndo maana bado tunazidi kuteseka na kunyanyasika. Ninaposema bado sisi ni watumwa nieleweke kitu...
  9. Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  10. R

    Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao; 1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa. 2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika). 3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji. 4. Maafisa...
  11. M

    Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  12. Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

  13. Wabunge wa Kigoma tumieni fursa - Kigoma bado imefungwa

    Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi? OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira?? Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
  14. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

    Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa? Rais hawezi kumwambia Waziri...
  15. Huwezi kuitawala dunia bila mwili

    Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili. Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema! Asie...
  16. S

    Alinilingia kunipa mbususu sasa nimeoa lakini bado ananitafuta

    Huyu binti niliwahi kuanzisha nae mahusiano dakika za mwisho mwisho wakati nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza mwaka wa tatu chuoni (UE) Wakati naingia nae kwenye mahusiano yeye alikua anasoma level ya certificate na mimi nilikua namalizia mwaka wa mwisho wa degree yangu ya kwanza. Baada ya...
  17. Kwa mabomu yote yale, bado umeme upo wa kumwaga Ukraine

    Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu' mtu.... Umeme bado upo wa kumwaga, wananchi pale Kyev bado wanaendelea na maisha yao, Putin alipiga...
  18. Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

    Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu. Hao...
  19. S

    Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

  20. Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

    Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama? Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…