Hivi Corona bado ipo?

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,975
15,317
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.

Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.

Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
 
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza..! Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

Kuna familia ya jirani yangu ina mafua makali
 
Ulipata chanjo????
 
Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni

huenda korona stage5
 
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza..! Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
TIBA YA CORONA VIRUS NA HOMA YA MAPAFU
lita 1 ya maji ya moto.
Vitunguu Swaumu Punje 15
Malimao 2. Ondoa mbegu tu usiondoe maganda yake kata pamoja
Kitunguu Maji 1 Kikubwa
Tangawizi mbichi Vipande 4 Saizi ya ukubwa wa kidole chako gumba
Pilipli kali nyekundu 5
Changanya yote na kutumia Mashine ya blender saga kwa dakika 4 hadi 5. Kisha acha iwe baridi na uanze kuitumia
Kipimo kula Vijiko 2 kila masaa 6. Tumia siku 7 au siku 10 kwa maambukizi ya CoronaVirus na Homa ya Mapafu.
 
Kuna mtu ameandika humu yu wapi mmoja wa viongozi? Akaendelea na kusema isijekuwa kama March 2021. Ukiunganisha nukta utahisi kuna jambo, majuzi kuna uzi ulizungumzia kesi ya askari waliomuua mfanyabiashara wa madini Mtwara, pichani walikuwa masked
 
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza..! Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Nani alikwambia imekwisha?
 
TIBA YA CORONA VIRUS NA HOMA YA MAPAFU
lita 1 ya maji ya moto.
Vitunguu Saumu 15
Malimao 2. Ondoa mbegu tu usiondoe maganda yake kata pamoja
Kitunguu Maji 1 Kikubwa
Tangawizi mbichi Vipande 4 Saizi ya ukubwa wa kidole chako gumba
Pilipli kali nyekundu 5
Changanya yote na kutumia Mashine ya blender saga kwa dakika 4 hadi 5. Kisha acha iwe baridi na uanze kuitumia
Kipimo kula Vijiko 2 kila masaa 6. Tumia siku 7 au siku 10 kwa maambukizi ya CoronaVirus na Homa ya Mapafu.
Hii tiba baada ya Magu kufa watu waliikanyagia. Eti haikuwafaa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom