bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  2. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  3. JamiiForums Tanzania Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  5. JamiiForums Tanzania Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  7. JamiiForums Tanzania Miamala ya mpesa bado inaendelea au tunakatwa ujanja?

    Hiv serikali bado ina yale makato kwenye mpesa au walifuta. Muda huu nimefanya muamala imekuja hv
  8. JamiiForums Tanzania Kama mapenzi hayajawahi kukuumiza jua wewe bado hujakua

    Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi. Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity. Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
  9. JamiiForums Tanzania JUKATA: Serikali bado inaendelea kubana Haki za Wananchi kupata Habari kwa kuzuia VPN

    Katazo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu matumizi ya mtandao binafsi (VPN) bila kibali maalumu, limewaibua wadau wa mawasiliano na siasa, wakisema hatua hiyo inalenga kubana upatikanaji na utoaji wa habari kidijitali. Katazo hilo lilitolewa juzi na TCRA kupitia taarifa yake kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbali na simu kuwa na bei nafuu soko la kimataifa, nchi zinazoendelea bado simu ni gharama

    Kati ya vifaa vyote vinavyopatikana na uwezo wa mtandao, simu za mkononi kwa ujumla ndizo zenye bei nafuu Zaidi ukilinganisha na laptop nk. Utafiti uliofanywa Septemba 2021, ulithibitisha kuwa simu za mkononi ni zana muhimu zinazoweza kutumika kwa mtandao, watumiaji wa simu za mkononi waliripoti...
  11. JamiiForums Tanzania Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

    1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital. 2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea. 3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu. 4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe...
  12. JamiiForums Tanzania Simu nyingi sikuhizi zina camera nzuri, bado camera ni kigezo kikubwa kwenye kuchagua simu?

    Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuwacheni masikhara, ukulima tulio nao bado ni cha mtoto

    leo nimeguguli na kuangalia huko ulimwenguni kilimo kinavyofanyika, kwa kweli ni hatari, kuna ukilimo wa hali ya kiwango cha juu sana na tutahitaji karne ili kuwafikia na kuufikia ulimaji wa kisasa. hapa ni kudanganyana tu ,mara madawa,mara mbegu bora, kusema kweli hatuna lolote la maana ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wanapigana vita lakini bado kiuchumi hatuwafikii

    Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania 🇹🇿 hatuwafikii kiuchumi. Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na...
  15. JamiiForums Tanzania Yondani anazidi kuzeeka lakini bado ana usela mavi

    Umofia kwenu. Wakuu majuzi ilikuwa birthday ya yondani kama sikosei. Jamaa ni moja ya ma legend katika ligi yetu na bongo kiujumla. Hivyo u_legend wake ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa wadogo zake kina mzize lakini bwana mkubwa bado ana usela wa kizamani. Achana na matukio yake mengi kama vile...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  17. S

    JamiiForums Tanzania TFF: Tunaendelea kupambana kuhakikisha Bernard Kamungo anaitumikia Tanzania

    Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limesema bado linaendelea na harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali Mkurugenzi wa ufundi wa TFF amesema hata kama Benard Kamungo atacheza timu ya Taifa ya Marekani chini ya umri wa miaka 23 kwenye michuano...
  18. JamiiForums Tanzania Binadamu bado tupo kwenye mageuzi (evolution) na safari bado ni mbichi!

    Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!. Labda nianzie hapa.. Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  20. JamiiForums Tanzania Safari yako ya mafanikio bado ndefu

    Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio. 1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream. 2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza. 3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…