Wastara Juma na huyu jamaa wa Keshas Salon nini kinaendelea kati yao ,maana huyu jamaa ni hatari skendo yake bado ya moto

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,118
Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada (Keshas Saloon).

Huyu jamaa bwana kazi anazofanya 100% zinahusisha kuwavua nguo zote akina dada eti ndo anawaondolea matumbo ,kuindoa nyama zembe na kuchonga viuno vyao ,bila kusahau kuwanyoa sehemu zao za siri , ushahidi wa hili ingia kwenye account yake ya IG (Keshas saloon).

Sasa bwana huyu jamaa skendo yake bando mbichii inavyosemekana huwa hashiki kuwavua tu nguo,lazima afanye nao mapenzi na kwa habari za chinichini msanii wa vichekesho Ebitoke ambapo inasemekana zamani alikuwa mtu wake ndiye aliyemchoma na kumrushia Mange baadhi ya video zake za ngono .

Jamaa alichokifanya sasa kaamua kukimbilia kijijini huko ndani ndani usukumani ili kwenda kuroga kuweka mambo sawa, maana sakata lake limeshafikia pabaya mpaka kwa viongozi wa ngazi za juu .

Sasa jamaa kaposti picha ya muda kidogo yupo na Wastara huku akimsifia mambo Kem Kem na kila nikiangalia kitu gani kinachoweza kuwaweka pamoja naona hakuna zaidi ya hayo yake ya hovyo.

Kuna video clip ukitazama kwenye account yake kuna mdada yupo kaka wastara na ikithibitika ni yeye aisee nitamdharau sana wastara kwa alipofikia na si ajabu ndio maana ndoa zake nyingi (zaidi ya nne) zilivunjika muda mchache baada ya kuolewa.

-465391757.jpg
 
Sema jamaa hatari, naona mademu wanazidi kumiminika kwake, na hiyo skendo ya kuwatafuna mademu ilipobumbuluka ndio kabisaa kama imezidi kumfungulia milango maana wanajaa marudufu.

Halafu cha ajabu zaidi mademu wenyewe wanamnyenyekea sana mchizi ,anawalipisha dau lefu ,anawashika shika maeneo yao nyeti, video zao anazisambaza eti ndo anawatengeneza shape zao ,dah.
 
Kuishi na mwanamke kunahitaji akili kubwa; mara nyingi wanapenda ujinga ujinga kwenye mahusiano, inawezekana jamaa ndio amewawezea hapo.
 
Nilijua hii ni kazi,I fucking knew it.Ila wakuu nafanyaje niwe na mm nawanyoa wadada maarufu?
Halafu mademu anaofanya nao kazi wengi pisi kali ,na anawavimbia hatari 🤣🤣🤣🤣🤣

Ukiona comment za mademu wanavyolia lia kutojibiwa DM unasema daah jamaa ana bahati sana .

Halafu jamaa mwenyewe mluga luga tu , ila sasa anavyozifaidi hizo K 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wanawezaje kumuachia bwimbwi mtu mwingine anyoe, huyo mume tu ni ukakasi.....watu hawana haya
Mbaya zaidi anawavua nguo na kuwapost wakiwa uchi wa mnyama ,hata chupi hawana japo anaficha sura zao.

Ila anachoshindwa kuelewa hapo kuna wengine wana alama zao za sirini kwa hiyo hata ukiziba uso, mume akipita na akaona atajua tu huyu mke wangu.
 

Kuhukumu ni dhambi lakini ni Mungu aliamua kumpumzisha yule kijana mapema, huyu binti angemtesa sana.
Na angemtesa haswa ,maana wastara ana sifa ya upigaji, sitasahau alivyotutapeli watz tukajichanga kumpa msaada kumbe utapeli mtupu
 
Sema jamaa hatari, naona mademu wanazidi kumiminika kwake, na hiyo skendo ya kuwatafuna mademu ilipobumbuluka ndio kabisaa kama imezidi kumfungulia milango maana wanajaa marudufu.

Halafu cha ajabu zaidi mademu wenyewe wanamnyenyekea sana mchizi ,anawalipisha dau lefu ,anawashika shika maeneo yao nyeti, video zao anazisambaza eti ndo anawatengeneza shape zao ,dah.
Chai
 
Back
Top Bottom