baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elon Mussa wa Kenya, aomba kukutanishwa na baba ake Elon Musk

    Nanukuu "Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk. Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa. Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa...
  2. JamiiForums Tanzania Baba bado anaendelea kuchukuliwa poa kwenye jamii

    "Formula yangu ni ile ile mwaka wa 7 sasa. Nikimtumia baba pesa X mama 2X" - Idriss Sultan Vijana kama hawa wakizeeka ndio wanaongoza kutoa lawama kwa watoto wao wa kiume kuwa wanaegemea sana kwa mama wakati utaratibu waliuanza wenyewe.
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital . Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi...
  5. JamiiForums Tanzania Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie

    Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie Mara nyingi tunaambiwa mengi kuhusu Mwinyi lakini hatujui mengi kuhusu baba yake Na je ni nani aliyemuibua winyi kwenye siasa?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni za Kikristu, Mwanaume anarithi Kampuni ya Baba Mkwe!

    Nimeshudia mara nyingi tu kwenye Ukristu kwa wazungu mwanaume anarithisishwa Kampuni na Baba Mkwe wake na anainedeleza vizazi hadi vizazi, tanzagiza utaambiwa usihenge ukweni, mara kiwanja cha mwanamke usijenge, tanzagiza hata maana ya ndoa haieleweki ni mila mbele tu kwanza. Kwenye ukristu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nani kama mama ni msemo wa kijana mdogo, Nimeshuhudia baba akisota kwajili yetu bila kulalamika, stress bila kuonyesha masikitiko, wazazi wote ni sawa

    Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake. Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asiyejua sura ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere?

    Hii serikali imelewa na madaraka! Ni viongozi vipofu wasiojua watanzania wanataka nini? Tukiwaambia taifa liko gizani hakuna umeme hawaelewi wala kusikia! Tuliwaambia maisha mitaani ni magumu hela hakuna pamoja na watu kupambana hawaelewi. Wafanyabiashara wakisema dollar hakuna hawaelewi...
  12. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  13. JamiiForums Tanzania Uonevu mkubwa kwa Ebrahim Yusuph kazi wa Yemen

    Habarini Wadau, Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13 Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  15. JamiiForums Tanzania Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
  16. JamiiForums Tanzania Baba mkwe hataki nihame kwake

    Wataalam, Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti. Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana. Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku? Unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo...
  17. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bagonza: Jina la Edward lina maana kubwa Monduli

    Tar 17/2/2024 tumemzika EDWARD Lowasa. Miaka 40 iliyopita tulimzika EDWARD Sokoine eneo hilohilo la Monduli. Tulivyomzika Edward yule ndivyo tulivyomzika Edward huyu. Jina “Edward” lina maana kubwa katika eneo hilo. Yalikuwa mazishi yenye hadhi. Usingejua kama ni ya Waziri Mkuu Mstaafu. Hata...
  18. JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa alichokuwa nacho mzee wake ni 'Loyalty' akiita kama 'kufa na mtu wako' kwani katika historia yake ya...
  19. JamiiForums Tanzania Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

    Wakati wa kutoa neno la shukrani, wanafamilia wawili wa Hayati Lowassa ambao ni Richard last born na Fredrick first born walisimama kutoa shukrani zao kwa waliohusika kushikamana na familia kuanzia ugonjwa hadi kukamilisha shughuli za mazishi ya mpendwa wao. Katika neno la shukrani...
  20. JamiiForums Tanzania Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

    Jambo? Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother. Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…