Nani kama mama ni msemo wa kijana mdogo, Nimeshuhudia baba akisota kwajili yetu bila kulalamika, stress bila kuonyesha masikitiko, wazazi wote ni sawa

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda

Kina baba washahatarisha maisha yao, wameshafedheheka, wameshasota na kufanya mambo mengi sana kwa ajili ya familia lakini sio waongeaji wala walalamikaji wa kuibua misoto yao pale watoto wakifanya ndivyo sivyo.
 
I finally understand
For a women it ain't easy tryin to rise a man

You always was committed
A poor single mother on welfare, tell me how you did it.

There is no way I can pay you back
But my plan is to show you that I understand
You are appreciated.
2pac hakuwahi kuwa na mtoto

Alikuwa bado ni kijana mdogo ambae hakuingia kwenye ulingo wa kuwa baba, alikuwa bado anaamini nani kama mama
 
huo ni msemo tu umeshika kasi hauna mantiki yeyote kwa kweli,

wanaofaa kusema hivyo ni waliotelekezwa na baba zao

tofauti na hapo, sio busara kulinganisha wazazi
Na sio wote wanatelekezwa, wengine tatizo lipo kwa mama.

1. Kuna kina mama wanakimbia wanaume aidha kwa tamaa ya kuwa na wanaume matajiri kisha hapo mbele wanaachwa ama wamejazwa upepo na wenzao kwamba wanaweza kulea watoto peke yao, hawa kina mama huwalisha sumu watoto kwamba baba kawatekeleza, mfano ni wachezaji na wasanii waliolelewa na mama pekee hulalamika kutekelezwa, ila huwezi kuja sikia mtoto wa kike alielelewa na baba peke yake aanze kulalamika mama aliwatelekeza

2. Yawezekana baba aligundua mtoto sio wake (Kachapiwa na kubambikiwa mtoto), mama bado anadanganya kwamba baba asie wake ni baba yake wa ukweli na bado anamsingizia aliwatelekeza.
 
Wanawake single mother ndo wameanzisha huo msemo.

Personally I was been raised with single parent but my father was there for me .

Mama anakuwa na BOND na watoto wake Ila baba anakuwa na Affection na watoto wake.

Ila katika wale baba wachache ambao wanakimbia majukumu na mama wachache ambao hushindwa kutimiza majukumu yao ndo chanzo cha kuwepo misemo ya kitoto Kama hiyo.
 
Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndie alikuwa / anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
kwetu sisi wakristo, wanaume huwa tunawapenda sana wamama zetu. lakini kitu tusichojua ni kwamba tunatakiwa kuwapenda wote na kuwaheshimu but at the end of the day, tamko la baraka la baba ndilo lenye nguvu kuliko la mama. Yakobo, Ibrahim, na Isaka wote walitoa baraka kwa watoto wao. mtoto anakuja, unamwekea mkono unamtamkia maneno ya baraka na yanatokea. hakuna hata sehemu moja mwanamke aliwahi kutoa baraka za aina hiyo.

baba yako huyo huyo unayemwona, amerisk mambo mengi sana kwa ajili yako na hatakwambia. ila mama akirisk kimoja tu utakuwa wimbo. baba yako huyohuyo unayemwona akikutamkia jambo baya linatokea kama lilivyo, hakuna sijui laana ya baba na mama, kuan laana ya BABA. dingi yako mheshimu na uwe makini naye mno. ulimi wake mbaya sana. tangu nijue hilo, nimekuwa makini sana kwa watoto wangu kwasababu najua ulimi wangu unaweza kusababisha lolote.
 
Wanawake single mother ndo wameanzisha huo msemo.

Personally I was been raised with single parent but my father was there for me .

Mama anakuwa na BOND na watoto wake Ila baba anakuwa na Affection na watoto wake.

Ila katika wale baba wachache ambao wanakimbia majukumu na mama wachache ambao hushindwa kutimiza majukumu yao ndo chanzo cha kuwepo misemo ya kitoto Kama hiyo.
You were lucky your mother hakukufanya umchukie baba yako, wengi huwa wanadanganya watoto baba yako alitutelekeza, baba yako hakupendi, baba yako mchawi, n.k.
 
You were lucky your mother hakukufanya umchukie baba yako, wengi huwa wanadanganya watoto baba yako alitutelekeza, baba yako hakupendi, baba yako mwizi, n.k

True , maisha yana mambo mengi Sana sisi mama yetu na baba both they bealive in collaboration and not competition

Tulikuwa tukimaliza darasa la Saba tunakuja DSM kwa mzee na tukimaliza form four we back kwa mama

After my daddy and my momy being separated mama ,she was got a kid from other side but my dady he had never get any kid

Lakini yule mtoto anaishi kwa nyumbani alipojenga mzee na baba yake ni Kama hana habari za mtoto wake .

So nachosema chuki kutengana ni kitu kibaya mm I'm living with my dady DSM na kaka mkubwa ambaye amekaa Sana na mzee wetu yeye yupo mkoani ndo kapata kazi nyumbani kabisa anaishi na mama

So tunashirikiana vizuri kwahiyo I agree with you. CHUKI haifai na ukimpandikiza chuki fahamu utakuwa umeharibu maisha yake 70%

GOD is LOVE
 
tuwe makini na kizazi cha sasa tu maana

80% of children raised by mothers will say the father ran away, not a year will pass by without mommy raising the blame (many blames are brainwashing lies)

barely 1% of children raised by fathers will complain mother ran away
 
Tangu siku nilipooa.,nilimtaka radhi baba yangu kwani niliwah muwazia vibaya juu ya malez!!fathers are true gods on earth....
 
Wababa jamani Mungu awabariki wanarisk mambo mengi wanaishi kwa mateso ili familia zap zile.Mwanaume huyo huyo alishe alishe familia,alipe ada,aangalie ndugu zake/wazazi wake bado na upande wa mke wake na hawalalamiki.Mungu awabariki sana
 
I finally understand
For a women it ain't easy tryin to rise a man

You always was committed
A poor single mother on welfare, tell me how you did it.

There is no way I can pay you back
But my plan is to show you that I understand
You are appreciated.

Tupac alikuwa dogo tu pia hakuwa na majukumu at least Big alikuwa na Mtoto angalau kidogo alijua nini maana ya ubaba.
 
Wababa jamani Mungu awabariki wanarisk mambo mengi wanaishi kwa mateso ili familia zap zile.Mwanaume huyo huyo alishe alishe familia,alipe ada,aangalie ndugu zake/wazazi wake bado na upande wa mke wake na hawalalamiki.Mungu awabariki sana
Kwa kweli baba zetu wabarikiwe na kuongezewa zaidi.
 
Nani km Baba?
Nampenda sana baba yangu, nashukuru kuwa na baba huyu, sijui ningekua na baba tofauti na huyu ingekuaje? Huwa nawaza na nakosa majibu kabisa.

Baba uishi sanaa,
 
Binafsi,natoa respect sana kwa mzee.
Now,huwa nawaza tu;
Nyumba nijenge mie.
Chakula,matibabu mie.
Mavazi&mahitaji mengi mie.
Ada nilipe mie.
Usafiri wa shule&mafuta mie.
Mateso ya ujauzito&malezi nishiriki.
Ulinzi wa familia mie.
At the end
"Nani kama mama"
"Mama ndiyo kila kitu"
Duh....!
 
Back
Top Bottom