baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  2. JamiiForums Tanzania Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari

    Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:
  3. F

    JamiiForums Tanzania Misiba ya watu wa Kaskazini hugeuka kuwa bonge la party mara tu baada ya watu kuzika!

    Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa. Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho, Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

    Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo? Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
  9. JamiiForums Tanzania Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  10. JamiiForums Tanzania Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
  11. JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Poland yajigamba hakuna uhalifu baada ya kudhibiti wahamiaji waislamu

    Mzuka wanajamvi. Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji. Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia wimbi la wahamiaji hasa waislam ambao wenyewe wanadaiwa ni waalifu sana na kupeleka nchi yao uhalifu...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga yafutiwa adhabu ya kutosajili baada ya kumlipa Bigirimana

    Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana. Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna taifa lenye jibu la Gaza iweje baada ya HAMAS, hivyo Israel itapiga kisha ikalie kama koloni

    Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma. Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha. ========== The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

    Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent! Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na mke wangu

    Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
  17. JamiiForums Tanzania Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

    Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
  18. JamiiForums Tanzania Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

    ONYO: Mauaji haya ya watumishi wa madhabahuni yasihusishwe na dini yeyote ile, huu ni utashi wa mtu, japo sijasikia huko TAG wakiuana ama kubaka watoto> Mahakama kuu kanda ya Iringa iliyofanya kikao chake mkoani Njombe imemhukumu kunyongwa hadi kufa Daniel Philipo Mwelango miaka (42),katekista...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ajikuta polisi baada ya kwenda ukweni mikono mitupu

    Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

    Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi. Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35. Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…