baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mssada: Gearbox leakage hata baada ya kubadili seal

    Wadau salam. Poleni na shughuli za kulijenga taifa. Nina Suzuki Swift 2008 gearbox ni CVT. Nimebadili gearbox,seal ya kwenye pump pale mbele ikawa inavuja.Tukaibadili tena kama mara tatu lakini bado inavuja. Maoni yamekuwa mengi. Moja,naambiwa pump imekufa.Na naambiwa kufa kwa pump ni bush...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote wa umma anayekuwa milionea katika ofisi za Serikali ni mwizi

  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

    Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kikwete alikuwa anasuka ukindu baada ya kustaafu uDC

    Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya. Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao. Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe). N. B. Ndiyo maana marekani...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Oktoba katiki baada ya hapo wakosoe wakuteke uliowapa tiki

    Sasa hivi wanakubembeleza ukatiki October 29 baada ya uchaguzi uliowachagua ukiwakosoa wanakuteka
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

    Wakuu, kwema? Wengi tunabadirisha engine oil kila mara, lakini tunasahau fluids zingine muhimu sana, mfano coolants na brake fluids. Leo kwenye muendelezo wetu wa service, tuzungumzie coolant na brake fluid ambazo zikipuuzwa zinaweza kuharibu engine au system ya breki au zikakupa majanga...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafuata baada ya Balozi Humphrey Polepole?

    Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake. Hawapaswi kabisa kuwa nchini...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

    Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za tesha. Kama makapteni watampigia kura nyingi kwenye kuunga mkono tamko la shujaa tesha mkuu wa majeshi wala raisi hawezi kuzuia. Tesha ameongelea mauwaji na utekaji, na ufisadi vitu ambavyo sio siasa kwa kweli bali...
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote 5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi 1...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hamas Yakubali Sehemu za Mpango wa Trump Kuhusu Gaza, Yatamani Majadiliano Zaidi

    Rais wa Marekani awaambia Israel ‘kuacha mara moja kurusha mabomu Gaza’, asema Hamas iko tayari kwa ‘amani ya kudumu’. Hamas imesema inakubali sehemu kadhaa za mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusitisha vita vya karibu miaka miwili vya mauaji ya halaiki ya Israel dhidi ya Gaza, lakini...
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
  16. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeamka na uchovu wa hatari baada kupelekwa mputa mputa na single mother

    Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu. Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu. Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa baada ya kueneza Uchochezi huko Uingereza!!!

    Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema: "Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yako ni tajiri usikubali thamani yako kuwa 10,000, kitenge, na tisheti kila baada ya miaka 5

    Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana. Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Naliona giza baada ya mwezi wa 10

    Kinachoenda kutokea ni kama tumejifungia chumba kimoja na chui halafu tunatumia vibaya risasi zinaelekea kuisha halafu chui bado hajafa, last bullet Yani kuanzia hapo mwezi wa11 katikat mambo yatakua magumu sana kama tutashindwa kummaliza maana chui aliejeruhiwa nae atataka kuwakomesha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan

    Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa. Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa mashariki mwa kisiwa hicho. Wataalamu...
Back
Top Bottom