The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.
Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran.
Katika taarifa iliyochapishwa na...
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka
2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje.
3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa.
4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba.
Naomba...
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.
Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo
Ongeza wako.
Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi.
Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..?
Na...
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k.
Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.
Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano?
Na je...
Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa.
Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini.
Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika.
Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA.
Mods tusipangiane...
Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe.
Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.
DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.