baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  2. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

  3. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  4. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwanajamiiforum Frey Cosseny baada ya hukumu

    Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu. Asome alama za nyakati, kuishi kwa kutegemea kuumiza wenzako laana ya Mola haitakuacha salama. Tena ana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya, waliompiga risasi Lissu wajue na wao iko siku wataenda jela

    Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama yalivyomkuta Sabaya leo hii. Mliomshambulia Lissu kwa risasi mkoani Dodoma,, mjue siku yenu ipo na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wanyimwa dhamana baada ya tamko la Rais Museveni

    Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa tamko la kuondoa dhamana kwa watuhumiwa wa mauji na uhaini. Wabunge hao wawili ambao ni Allan...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

    Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mara: Mzazi ampiga mwalimu na kumjeruhi baada ya kumuadhibu mwanae

    Mwananchi mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyimano Ghati mkazi wa kata ya Nkende Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara amedaiwa kumpiga na kumjeruhi mwalimu wa shule ya msingi Nkende Mwl. Edina John kwa madai ya kuwa mtoto wake anayesoma shule hiyo alipewa adhabu na mwalimu. Kufuatia tukio la...
  9. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania TARURA: Nimebambikiwa parking fee ya masaa manne baada ya kupark kwa dakika tano!!

    Manzi wangu aliniomba niende na nyama choma home wakati natoka kumsindikiza mshikaji wangu Airport. Basi nikapitia pale Mwenge kwa huku nyuma karibu na jengo la zamani la HESLB kuna restaurant wanachoma nyama kizazi sana. Nikafika pale, nikaenda kuweka order nikawaambia wanifungie. Wakati...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kumbukumbu baada ya nusu

  11. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

    Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
  12. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  13. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusota sana hatimaye nuru imeonekana

    Baada ya kusota sana mtaani hatimaye nuru imeonekana. Kwa kifupi nilisoma ngazi ya degree lakini sikuweza kuhitimu kutokana na masuala ya kifedha. Misukosuko iliniandama baada ya mzazi kuumwa sana hivyo uchumi uliyumba sana hivyo nilipostpone . Baadaye nika resume masomo hivyo hivyo kibishi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

    "Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao. Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
  16. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ambao bado wanaishi hata baada ya kufa

    1:Patrice Lumumba, Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa. 2: Kwame Nkrumah, Aliye ifanya Ghana ikawa nchi ya chama...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B. Kampuni ya...
  18. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Musoma vijijini Prof. Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua uwepo wa miradi hewa

    Mbunge wa Musoma Vijijini Prof Sospeter Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa na matumizi mabaya ya fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC). Mbunge huyo anaungana na Madiwani wengi wanaotaka Tume ya Uchunguzi iundwe. Mkurugenzi aliyehama na Mwenyekiti...
  20. Jimmy ally

    JamiiForums Tanzania Tucheze kamchezo. Mtumie ex wako mseji mwambie naomba turudiane halafu 'screanshot'

    Nimepta Twitter leo nikakutana na mada hii. Tucheze kamchezo mtumie ex wako msg mwambie naomba turudiane, screanshot halafu weka kwenye comment tuone nani bado anapendwa na baazi walichangia kama hivi.
Back
Top Bottom