The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Nimepta Twitter leo nikakutana na mada hii. Tucheze kamchezo mtumie ex wako msg mwambie naomba turudiane, screanshot halafu weka kwenye comment tuone nani bado anapendwa na baazi walichangia kama hivi.
BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 18:00hrs 03/10/2021
Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma).
Kutokana na tabia...
Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi.
Kwa kutoa...
Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi...
Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo.
WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote...
Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea.
---
Jaji ameshaingia
Kesi inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho.
Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma!
Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
Rais Putin anaetimiza miaka 69 wiki ijayo, hutumia muda mwingi kujitenga (isolation) kutokana na wimbi la maambukizi ya Covid 19 yaliyoikumba nchi hiyo.
Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021.
____________________________________________
Makamu wa Rais wa benki ya dunia anayeshughulikia Ukanda huu wa Mashariki...
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.
Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia...
Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali.
Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa......
Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.