AZAM TV customer Care

NSHOMA FRANCOUS

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
698
325
Hizi namba 0764700222,0784108000,0659072002 leo hazifanyi kazi?mnasherekea sikukuu? Tunataka huduma,kuweni serious bhana..Yaani unaambiwa ujague lugha unachakua afu inajirudia chagua lugha yaani no respond..Hacheni uzembe kitengo husika
 
Sio Leo tu mkuu. Last week ilinifanyia hivyo..inaishia kwenye kuchagua lugha ukichagua inajirudia.
 
Mmeanza kutumia Azam lini nyie? Mimi nimeanza kutumia 2014 wakati inaanza na nikipata shida napiga Landline yao 0225508080 customer care,hizo mobile mara nyingi zinakuwa na shida.
 
Hizi namba 0764700222,0784108000,0659072002 leo hazifanyi kazi?mnasherekea sikukuu? Tunataka huduma,kuweni serious bhana..Yaani unaambiwa ujague lugha unachakua afu inajirudia chagua lugha yaani no respond..Hacheni uzembe kitengo husika
Mimi imenitokea jana. Nililipia tarehe 9 mwezi uliopita, tarehe 5 mwezi huu eti kifurushi kimeisha!
 
Manyang'au tu, nimehangaika kuwapigia cm wiki nzima lakini namba zao hazipatika i
 
Huku DSTV ni full kupeta tuu, ukibonyeza kitufe tu michaneli kibaooo
 
Hao jamaa nilipata shida Trh 31/11/2020
Namba zao zote hazipatika, kweny mitandao ya kijamii hawajibu

Ila nilipata respond via Email yao ndi wakaweza kutatua shida yngu
 
Hao jamaa nilipata shida Trh 31/11/2020
Namba zao zote hazipatika, kweny mitandao ya kijamii hawajibu

Ila nilipata respond via Email yao ndi wakaweza kutatua shida yngu
Nitumie email address yao,lakini ni uzembe wa hali ya juu,wazungu watazidi kutushangaa sana,una namba zaidi ya tatu za customers care afu zero response!ridiculous..
 
Back
Top Bottom