azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

    Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
  2. tyc

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Azam Tv juu ya kurusha mechi za Simba Sc

    Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR, Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2 Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

    Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots? Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu...
  4. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Fine Living: Kulikoni Azam TV?

    I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Azam Tv angalieni watangazaji wenu hasa kwenye uchambuzi wa mpira

    Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Azam tv sio rafiki kwa maskini

    Ni watu wasiokuwa na sh. 28,000 kwa pamoja (maskini) kwa mwezi ambao watalazimika kulipia vifurushi vya wiki kama vile sh. 9,000 ili waweze kuangalia channels pendwa kwao. Wiki moja ina siku 7 na mwezi mmoja una siku 30. Hivyo basi anaelipa 28,000 kupata kifurushi cha mwezi (tajiri) anatumia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

    Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa. Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania AZAM TV customer Care

    Hizi namba 0764700222,0784108000,0659072002 leo hazifanyi kazi?mnasherekea sikukuu? Tunataka huduma,kuweni serious bhana..Yaani unaambiwa ujague lugha unachakua afu inajirudia chagua lugha yaani no respond..Hacheni uzembe kitengo husika
  9. T

    JamiiForums Tanzania Athari za Uchaguzi Mkuu, Azam TV wapandisha bei za vifurushi?

    Wakati wanazindua mzigo mpya 'Bazzika' walijifanya wanapunguza bei za vifurushi lakini kiukweli WAMEPANDISHA BEI. Hawa ni wapigaji kama wapigaji wengine. Wangebakiza channel za vifurushi husika kama zamani, kwa mfano: Vifurushi vilivyokuwa vinapatikana ndani ya Azam Lite ya Sh. 10,000/=...
  10. Shark

    JamiiForums Tanzania Rasmi, leo ndio siku ya kuanza kudhulumiwa na Azam TV

    Wakuu, Azam Media wamekua wakijitangaza kua wameshusha Bei ya vifurushi vyao kuanzia leo. Asubuhi hii nimelipia kifurushi Cha 20,000/- ambayo ndio iliyokua 23,000/- lakin nimekuta channels kadhaa hazionyeshi. Baby TV, ESPN1, ESPN2, MBC4, Nickoledion Zote hizi nilikua nazipata kwenye kifurushi...
  11. Rchesse

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa frequency mpya za Azam Tv

    King'amuzi changu kina Eutelsat 7B frequency, baada ya kuformat. Nasikia wamehamia Eutelsat sat 7C. Kwahiyo nikisearch channel zinazokuja ni Bloomberg, Universal Tv na Imaan Tv. Kwahiyo naomba anaejua frequency zao mpya anijuze.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Azam Tv na janja janja za bei za vifurushi vipya

    Ni ukweli usiopingika hawa jamaa wana vipindi vizuri vinavyopendwa na watanzania walio wengi.Hata hivyo ujio wa king'amuzi kipya mwezi ujao pamoja na mambo mengine ulizinduliwa na "uwongo" wa kile kilichodaiwa kushusha bei ya malipo ya vifurushi kwa mwezi. Hata hivyo, wakati nikiwasikiliza...
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

    hatimaye mzigo umefika! Sasa kuona Ligi ya bongo itakupasa kulipia 20,000 kwa mwezi badala ya 18,000 kwa mwezi iliyokua hapo awali. Vile vile ili kuona Ligi yetu ya hapa bongo kwa wiki utalipa 9,000 badala ya 7,000 ya hapo awali.. Huo ndio ukweli ingawa wenyewe wanajinasibu kuwa wamepunguza...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Azam Tv Max haikubali kuplay kwenye Bluestacks?

    Kila ninapojaribu kuplay Azam Tv Max kupitia Bluestacks huwa inaniletea ujumbe huu. Nmejaribu ku-update App but bado kila napojaribu napata huu ujumbe. Solution yake inaweza kuwa nini? Lengo ni kutumia Azam Tv App kwenye Laptop.
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mjitathimini kwa upendeleo wa wazi wa kubagua katika kuonesha habari za Kampeni za Wagombea Urais

    Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) . Na pale siku Jiwe anapokuwa...
  17. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Azam Tv na ulimbukeni wa 'replays'

    Huwa mnapoonyesha Mechi kumekuwa na timing mbovu pale mnapotaka kurudia tukio fulani kama la faulu, kosakosa ya goli, Golikipa kuokoa mpira wa hatari n.k. Sidhani kama ni mara zote kuna ulazima wa kurudia papo hapo haswa kama kuna movement inaendelea. Mnaweza kusubiria hata baadae mpira...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Azam Tv: sipati Trace Mziki na channels zote za watoto

    Mada hapo juu, tangu kuhama kwa satellite ya eutelsat 7b kwenda 7c nimepoteza channel ya Trace Mziki na zote za nickelodeon, baby tv, mbc3 nk, msaada pliz
Back
Top Bottom