awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

    Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5; 1. JPM himself 2. Paul Makonda 3. Biswalo 4. Job Ndugai 5. Ole Sabaya 6. Ally Hapi 7. Mnyeti 8. Kalemani 9. Dotto 10. Ngusa 11. Gambo. 12. Polepole . 13. Dr. Bashiru. 14...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza. Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili, ya nne na ya sita zimeleta fujo kwenye usafiri wa umma

    Awamu ya pili ilileta fujo za daladala kwa mara ya kwanza Tanzania, iliruhusu fujo, iliondoa usafiri wa kimpangilio uliokuwepo wa UDA na kuruhusu fujo za daladala. Awamu ya 4 iliruhusu bodaboda kwa mara ya kwanza kwenye nchi yetu na kuleta fujo, leo hii kila mtu karibia ni mhanga wa fujo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

    Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja Ramadan Kareem 😄
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania 2025 utashangaa CCM ikisema awamu iliyopita ilikuwa sio ya kuchaguliwa raisi kama sasa wanavo sema raisi kainua nchi

    Nimefatilia sana siasa yangu mpaka sasa ila kila siku kupitia ccm tokea kupata uhuru sijajua mpinzani wao ni nani kwenye madaraka yao kila raisi na chama chao wanavojaribu kujivua magamba wakati nyoka ni yule yule. kabla ajafariki dkt john pombe magufuri, bunge lilikuwa mstari wa mbele kumpa...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

    Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania? Sukari kilo 5,500 Nyama kilo 10,000 Mchele kilo 4,000 Unga kilo 2,800 Petroli lita 3,300 Umeme Giza kama enzi za Richmond, Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

    Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars kurudi nchini kwa Awamu (Mafungu)

    Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja "Kuna changamoto kidogo ya usafiri. Hatukufanikiwa kupata tiketi za timu nzima kwa mara Moja kwahiyo walioanza kuwasili nchini jana ni wachezaji...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

    Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast . Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
Back
Top Bottom