Kongole Rais Samia, Kongole Awamu ya Sita Ngurdoto Imesimama Tena, Ajira Zimerejea kwa Watanzania

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO"

Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yote imefanyika NGURDOTO

Baada ya kuporomoka na kukaribia kupotea Rais Samia amefanikiwa tena kuisimamisha Hotel ya Ngurdoto na mikutano hii kufanyika hapo ni alama tosha kuwa Ngurdoto imerejea.
- Hii ni alama kuwa ajira za Watanzania wengi zimerejea pale Ngurdoto na nyingi zaidi zitatengenezwa kwa mikutano itakayofanyika hapo kuanzia kampuni za utalii, usafirishaji, wakulima watakaouza vyakula na kadhalika.

Kongole kwa Serikali ya awamu ya sita na wote walioshiriki kuisimamisha tena Ngurdoto

Atakayepita Ngurdoto siku za karibuni atubariki na picha kadhaa tuone ilivyo hivi sasa
 
Hujielewi. Pole sana
 
Nimesikia ukarabati umefanywa na JWTZ/jkt. Naomba kujulishwa mmiliki wa hii hoteli kwa sasa ni nani?
 
Viwavi wa Chadema watapiga.
Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO"

Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yote imefanyika NGURDOTO

Baada ya kuporomoka na kukaribia kupotea Rais Samia amefanikiwa tena kuisimamisha Hotel ya Ngurdoto na mikutano hii kufanyika hapo ni alama tosha kuwa Ngurdoto imerejea.
- Hii ni alama kuwa ajira za Watanzania wengi zimerejea pale Ngurdoto na nyingi zaidi zitatengenezwa kwa mikutano itakayofanyika hapo kuanzia kampuni za utalii, usafirishaji, wakulima watakaouza vyakula na kadhalika.

Kongole kwa Serikali ya awamu ya sita na wote walioshiriki kuisimamisha tena Ngurdoto

Atakayepita Ngurdoto siku za karibuni atubariki na picha kadhaa tuone ilivyo hivi sasa
Sa
 
Nafurahia sana jambo hilo hongera kwake Rais Hassan 💯💯💯
 
Tatizo lako ni akili na upeo.
 
Back
Top Bottom