Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe.
Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
Kwanza: Wao sera yao ni ya majimbo .hivyo miradi mikubwa ya kitaifa kwao haina maana maana miradi mikubwa ya kitaifa ni kwa ajiri ya taifa na siyo jimbo.Hivyo mtu kutoka majimbo ya sera ya chadema anaona wivu mkubwa kwa sababu anahisi kodi yake ingebaki jimboni Kwake ili inufaishe watu wake...
Unajuwa kuna wakati watu wenye akili lazima tujiulize na kujijibu maswali magumu ambayo hakuna Mtu anakuja hapa kujibu wengi wanasifia na kutetea mambo uwenda mwisho wake hawaujuwi.
Jambo la Kwanza nilazima washauri wa Sera na mipango ya chama na serikali mfike mahali mkumbuke uchumi hauna...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya Tano.
Kama kimeshakamilika ni vizuri akakitumia kueleza mafanikio yake alivyosaidia nchi kwa...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo.
TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu.
Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania.
Bunge letu lilikosa meno kabisa.
Serikali ya CCM na ripoti ya CAG hatimae CAG aliachia ofisi.
Tukisoma historia, utaona kuwa nchi yetu imepita katika vipindi kadhaa vya uongozi baada ya uhuru
1. Kuna Serikali huru chini ya waziri mkuu Nyerere iliyodumu kwa miezi mitatu baada ya kupata uhuru
2.Kuna serikali iliyofuata baada ya Nyerere kujiuzulu kwenda kuimarisha TANU iliyoongozwa na...
Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
Wanajamvi, salaam.
Moja ya Jambo muhimu na la lazima ni serikali kuhakikisha inawalinda raia wake kwa gharama yoyote ile. Moja ya sababu kubwa ya vifo nchini Tanzania ni vile vitokanavyo na ajali za barabarani. Aidha ajali hizo zimesababisha ulemavu na kuongeza idadi ya mayatima nchini kwetu...
Gubu ni neno la kiswahili ambalo tafsiri yake ni mtu kuwa na hasira na kupaniki hovyo hata kwa jambo ambalo ni la kawaida. Mtu huyo mara nyingi ni mgomvi mgomvi, mlalamishi, anayenuna nuna hasa pale anapoelekezwa jambo, kuadhibiwa kwa kosa lake au kuonywa! Hivyo gubu siyo tusi.
Sasa basi...
Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na...
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili...
Mimi sio mchumi, ila nachokiona ni kuwa, awamu hii inakaamua sana wananchi na hela inayokusanywa sehemu kubwa imeelelekezwa katika miradi michache tena inayoplekea baadhi ya fedha kwenda nje ya nchi(kupitia ununuzi wa malighafi kutoka nje,kulipa wataalamu wa kigeni,n.k) na hivyo inakuwa ni...
" Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais
@MagufuliJP
Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini...
Huu ni uzi maalumu.
Nakusudia tujikumbushe matukio ambayo sio mazuri na yabaki kuwa kumbukumbu.
Nitataja machache na wengine wataweka yaliyosahaulika.
1. Kupigwa marufuku mikutano ya kisiasa na maandamano isipokuwa mikutano ya ndani na ya wabunge Katika maeneo yao
2. Kuibuka wimbi la kupotea...
Nilihamia kanda ya ziwa miaka ya 1990, nilipofika sokoni nilikutana na samaki (sangara) wakubwa kama mimi, nilishangaa sana maana vilikuwa ni vitu vigeni kwangu, walikuwa wanatumia mashoka na mapanga kutukatia vipande kwa fedha uliyokuanayo, miaka ikasogea na ukubwa wa sangara ukazidi kuwa...
Ofisi ya Msajiri wa NGOs Makao makuu Dodoma kufuatana na Janga la Corona na vilevile kurahisisha kupatikana kwa huduma zao kwa urahisi wameanzisha mfumo wa kwa kusajiri NGOS kwa mtandao yaani E-REGISTRATION.
Unatakiwa utume documents zako zote kwa mtandao na kama kutakuwa marekebusho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.