Kwanza niwapongeze EWURA kwa ‘at least’ kuonesha kwamba wanamjali mwananchi wa chini. Bei ya mafuta (petrol) imeshuka karibu kwa asilimia 28% kutoka wastani wa Tzs 2,100 iliyokuwepo kuanzia mwanzo wa mwaka huu (Pre-Corona Crisis) mpaka bei ya sasa ya Tzs 1,500 kwa lita.
Katika kipindi hicho...
Habari wakuu,
Huku Marekani na ulimwengu ukiwa na taharuki kufuatia kifo cha mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi, binafsi nimejaribu kulinganisha/kuhusishanisha hili tukio na namna serikali yetu inavyokabiliana na siasa za upinzani kama ifuatavyo:
1. Katazo la kufanya siasa/goti shingoni...
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
Janga la corona limetikisa dunia kwa kusababisha taharuki na vifo vya watu zaidi ya laki tatu, kusababisha mdororo wa uchumi kwa kusimamisha uzalishaji, kupunguza ajira na madhara mengine mengi kwa binadamu.Hizi ndizo athari za muda mfupi tunazoweza kuziongelea kwa sasa,athari za muda mrefu...
Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura..
Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO
Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi...
Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 Waziri Ummy Mwalimu atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano.
Bajeti hii ya Sekta ya Afya itakuwa ya kihistoria kwa kuwa inasomwa wakati Tanzania na Dunia inapitia ktk majaribu makubwa katika kipindi Cha zaidi ya miaka Mia moja!
Bila...
Ukweli niliamua kuacha kazi mwishoni mwa Mwaka 2016 na nikaamua kurudi kijijini na nyumbani kwetu Idukilo Shinyanga na kuanza kazi zangu za biashara. Kilichonifanya niache kazi ni kutokana na tu na maamuzi ya kibabe ya watu wenye mamlaka kuamua kibabe kuhusu mambo ya mtumishi wa umma hata kama...
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu
VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli
Baadae ikafuata hii mpaka...
Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo.
Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.
Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa...
Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani
Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
Tangu Zitto Kabwe ajitoe ufahamu wa kuandika barua WB ili mkopo kwa ajili ya elimu tulioomba tusipewe, baadhi ya watu wameanza kuujadili usaliti wa Zitto Kabwe kwa Taifa lake kama uzalendo na yeye kujiona kafanya kitendo cha kishujaa kwa watanzania maskini.
Mashaka ya wengi ni kwa nini Zitto...
Ningelifuta vyuo vikuu vyote visivyokuwa na sifa ya kuitwa vyuo vikuu.
Ningelitengeneza vyuo vingi vya ufundi yaani VETA huku nikitoa kipaumbele cha hali ya juu kwenye ubunifu wa mitambo ya kutengeneza na kuchakata mazao ya kilimo.
Ningelifuta kidato cha sita badala yake mwanafunzi angemaliza...
Miongoni mwa mambo ninayoyaona kama hatari sana katika maisha ya watu ni " kubebwa na mfumo" badala ya kuandaa nao.
Watendaji wa Rais walio wengi wanaonekana kubebwa na mfumo na kwa maana hiyo utendaji wao hauakisi jona kwa moja kasi ya Mheshimiwa Rais.
Wananchi wengi wamejenga imani kubwa...
Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo...
Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
Naandika waraka huu mfupi nikitambua kuwa kuna watu leo katika Nchi hii hawataki kusikia mawazo mbadala wala kukosolewa kwa mwenendo wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Mhe.Rais Magufuli chukua muda sikiliza pia mawazo mbadala kutoka kwa watu ambao hawakusifii tu!
Mhe.Rais Mstaafu Benjamin Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.