awamu ya tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  2. S

    Nape Nnauye ndiye mwana-CCM pekee aliyepigania demokrasia wakati wa giza nene la awamu ya tano

    Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono". Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi...
  3. Jidu La Mabambasi

    Awamu ya Tano iliua UDART, hili tuliseme wazi si kumung'unya maneno

    Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART. Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi (private investment) uliowekezwa na mtanzania, Nd Kisenha. Serikali ilifanya kila njia kumnyima...
  4. Nyankurungu2020

    Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  5. M

    Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha. Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita...
  6. J

    Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya. Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
  7. kavulata

    Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

    Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile maji ya kunywa, barabara, madaraja, shule, hospitali, umeme, ujenzi wa huduma za benk. viwanja vya...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ushuhuda binafsi: Awamu ya tano niliishi kwa hofu

    USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu asiye na mashaka, hofu na wasiwasi, labda kutofautiana kiwango cha hayo. Moja ya mambo ninayoyapenda...
  9. N

    Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  10. N

    Tuseme tu na ukweli Mawaziri na Wabunge wa CCM waliokuwepo awamu ya tano walikuwa wakatili!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  11. B

    DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

    Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi. Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki...
  12. TheDreamer Thebeliever

    Awamu ya tano ya urais wa Hayati Magufuli iliwachelewesha sana vijana

    Habari wadau, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, licha ya mazuri ya awamu ya tano lakini kosa kubwa liliofanyika ktk awamu hiyo ni kuwachelewesha maisha vijana. Vijana wengi hususa graduates walikuwa wanaishi kama mashetani hakukuwa na ajira wala viwanda vipya vilivyoanzishwa na hata miradi...
  13. B

    Awamu ya sita si awamu ya tano, hongera mama Samia

    Mabibi na mabwana inatia moyo kuwa tuna mwanzo mpya. Katika awamu ya 6: 1. Urasimu uliokuwapo sasa unapigwa vita. 2. Upigaji mkubwa wa pesa uliokuwapo unapigwa vita. 3. Ugonjwa wa Corona uliopo sasa unakabidhiwa tume ya wataalamu waliobobea kwa ajili ya kushauri nini cha kufanya. 4. Tunatambua...
  14. Nyankurungu2020

    Ni dhahiri kuwa awamu ya tano haikuwa sikivu kusiliza ushauri wa Mawawaziri, ilipobainika hivyo waliamua kufunika kombe

    Ibara ya 54(2) imetanabaisha wazi kuwa baraza la mawaziri ndio kitakuwa chombo kikuu cha kutoa ushauri kwa rais ili aweze kutekeleza majukumu yake. Hata kabla ya kumaliza maombolezo tangu afariki hayati Dkt. John Pombe Magufuli tunasikia kauli za kushangaza toka kwa baadhi ya waliokuwa mawaziri...
  15. Nyankurungu2020

    Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

    1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala 2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa. 3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka. 4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula. 5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba 6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba. Mdau na wewe...
  16. N

    Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

    Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya Tano na Serikali na wananchi. Ona Msela huyu alivyoharibu kabisa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka...
  17. B

    Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

    Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
  18. N

    Imebaki masaa machache sana wajisahaulishe kuwa twapaswa kuanza awamu ya sita na sio kuendeleza awamu ya tano

    Kiutawala hapa Tanzania awamu za uongozi humaanisha muda anaokaa madarakani Rais. JPM awamu yake imekuwa ya miaka kama mitano na ushe hivi. Mwinyi, Mkpa na Kikwete awamu zao zilikuwa ni miaka kumi kumi hivi. Nyerere awamu yake ilichukua zaidi ya miaka 20. Mama Samia awamu yake inaweza ikawa ya...
  19. Mwanamayu

    Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  20. B

    Corona: Tuukatae upotoshaji huu tunapochukua tahadhari

    Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari: 1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki. Ukweli ni kuwa taarifa sahihi zinatuweka katika hali muafaka ya kukabiliana na tatizo lililopo. 2...
Back
Top Bottom