Hongera awamu ya tano, hongera Rais Magufuli ziwa Victoria limependeza

free prisoner

Member
Jun 11, 2020
15
11
Nilihamia kanda ya ziwa miaka ya 1990, nilipofika sokoni nilikutana na samaki (sangara) wakubwa kama mimi, nilishangaa sana maana vilikuwa ni vitu vigeni kwangu, walikuwa wanatumia mashoka na mapanga kutukatia vipande kwa fedha uliyokuanayo, miaka ikasogea na ukubwa wa sangara ukazidi kuwa mdogo mwaka hadi mwaka. mpaka ikafikia hakuna tena minofu ya samaki ni ghali hai nashuhudia tena sangara wakubwa kama mimi sokoni.

Hongera sana Rais Magufuli kwa kuzuia uvuvi haramu ziwani. Asiyeweza kushukuru kwa hili hajui tulipotoka, nimetembelea sehemu za Nzela na Katoro sokoni nimekutana na sangara wa kilo za kutosha, watanzania tulinde mali zetu. Ni hazina ya Vizazi Vijavyo
 
Meko au Yesu katumwa n Mungu. Hadi maziwa yanapendeza.
Nimeona Bahari ya Hindi maji mengi sana hii awamu.
Heko Meko
 
Sangara aina hii walishapotea kwa sasa ni mfano wa sangara ndiyo wapo.

20200620_171727.png
 
Back
Top Bottom