askofu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Nzigila: Vyombo vya habari vya kanisa tangazeni ukweli, Ukweli utabaki kuwa kweli hata watu wakiukataa

    Vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki vimetakiwa kusimamia ukweli na kuepuka kujiingiza katika mtego wa kusambaza habari za uongo au zinazopotosha ukweli kwa maslahi binafsi na kutafuta umarufu wa kupata wasikilizaji na wasomaji au fedha. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kurugenzi ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Kisare: Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki, haiwezekani

    Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja. "Haki...
  3. JamiiForums Tanzania Baba Askofu "Mwamakula" alivyokoswakoswa

    'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA! Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi Kindamba' wa Uchindile anadai wewe ni 'Kapufi Mwanansao' ambaye ni Mfipa wa Kirando hujui hata kuvua...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

    Wakuu, Askofu kalambishwa asali :Alien: "Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais. Sasa kwa wale ambao...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Kinyaiya: Ukistaafu nenda kwako kapumzike, Usitese watu nyuma ya mwingine

    Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu. Ujumbe umfikie.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sisi tusiopenda mijadala ya Siasa kanisani tunatamani misa ziongozwe na Makatekista kuliko Maaskofu

    Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao, kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu, naona kama Wana frustration kubwa sana, NB: Huwezi ukashindana na serikali hata ufanyaje
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

    Wadau tumsifu Yesu Kristo. Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usio na kipimo na kwa baraka alizozimwagia kupitia huduma hii ya kiroho.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kwanza duniani mwanamke aapishwa rasmi

    Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85. Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Watendao uovu na wanaokandamiza watu, hawapendi kutembea katika ukweli

    Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Sarah Wega afariki kwa ajali ya bodaboda

    Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

    "Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  14. JamiiForums Tanzania Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula amjibu Yericko Nyerere

    ASKOFU HAKATISHWI TAMAA KWA UWONGO! Wiki chache zilizopita, aliyekuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya CHAUMMA...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Hakuna taifa litakaloweza kuiangusha katoliki

    “Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21). Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”. 1. Hazina hii hutunzwa mahali pa...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Jenesta Mhagama anavyowachungulia CCM akitokea Toharani(pulgatory)

    Mbele ya mwili wa Jenista Mhagama na kabla hajazikwa kiongozi mkubwa katika moja ya mihimili alinukuliwa akisema Victor Mhagama, mtoto wa Jenista arithi Ubunge wa Jimbo la Peramiho. Hii ilikuwa kampeni tosha na hivyo Victor hakuhitaji kupiga kampeni yeyote achilia mbali kutoa takrima. Mara baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…