askofu

  1. data

    JamiiForums Tanzania Askofu Ammeus Bandekile Mwamakula dhidi ya Kashfa ya Sensa Mbeya

    KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI. Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

    Habari Kamili ya hii taarifa ipo katika Ukurasa wa Tatu ( 3 ) wa Gazeti la MWANANCHI la leo. Wewe haujawahi hata Kushika ( Kumiliki ) Tsh 50,000/= tu 24/7 Unafululiza kwenda Maombini kutaka Mungu akupe Utajiri.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  6. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na Askofu Mwaipopo, msaidieni mwenzenu Dkt. Mwaikali kwa kumpa uchungaji Dayosisi zenu

    Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa. Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi. Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga. Hawa Maaskofu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Aliyevuliwa UASKOFU Kanisa la KKKT, Dkt. Mwaikali akubali kurejesha mali za Kanisa

    Wakati mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Konde ukifikia kwenye hatua ya kugombea mali, imefahamika kuwa hatimaye upande wa uongozi uliondolewa madakani umekubali kurejesha mali za kanisa hilo. Mgogoro uliibuka baada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Geofrey...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Wiki moja baada ya kuvuliwa madaraka, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Konde ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Edward Mwaikali na baadhi ya wachungaji na waumini wamejitenga na kanisa hilo. Uamuzi huo ulitangazwa Juni 12, 2022, katika Kanisa Kuu la Ruanda Jijini Mbeya na Dkt...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Jamii imejaa uasi

    Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii. Akiongea katika ibada ya Upadrisho wa Padre Baraka Rusesa, inayofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Fransinsko wa Asiz...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali. Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mwaikali wa Konde KKKT aangukia pua mahakamani!

    Askofu Dr Edward Mwaikali ambaye baada ya mkanganyiko mkubwa katika Dayosisi ya KKKT-Konde alifungua shauri mahakama Kuu Mbeya kupinga kuenguliwa Uaskofu, sasa rasmi Mahakama imeamua kuwa haina mamlaka kuzuia kuapishwa Askofu Geofrey Mwakihaba, ambaye alichagulikwa na Mkutamo Mkuu wa Dayosisi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera Askofu Mstaafu Mkude wa Jimbo Kuu la Morogoro Kanisa la Mt. Patrick ( Patrice ) kwa Ukristo huu wa Kizalendo wa Leo

    Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga. Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada. Ni kwamba mara...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  15. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

    Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu, === Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
Back
Top Bottom