askofu

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula amtaja Gerald Hando shujaa wa maoni 2022

    GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022. Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali. Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Eritrea: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki aachiwa kizuizini baada ya miezi miwili

    Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa hilo limekuwa likisisitiza kumalizika kwa mfumo wa utawala wa chama kimoja Nchini Eritrea na kuminywa...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alitudanganya kuwa amepata Umeme Megawati 250 kutoka Ujerumani kwa ajili ya Tanzania

    Salaam Wakuu, Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu. Tutachambua moja moja ila leo...
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  5. Championship

    JamiiForums Tanzania Simu ya kinabii iliyopelekea Rais wa nchi kurudisha jengo la kanisa lililoporwa na wasaidizi wake

    Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa. Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Faru Weupe kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato

    Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Kanisa la Anglikana akutwa amekufa baada ya kutoweka siku tatu

    Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Marehemu alitoweka tangu Novemba 28 na mwili wake kukutwa ukielea katika Ziwa Victoria eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Akizungumza na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi siasa za 2015-2020 ziliniwezesha kumjua Mungu, Biblia, Qu'ran, Askofu Ngonyani na Othman Mazinge

    Hakuna ubishi kwamba sisi wapenzi wa siasa za Amani, umoja, haki na maendeleo ya watu siasa za Tanzania ktk kipindi kilichotajwa hapo juu zilitutia unyonge sana. Zilitutia unyonge kwa sababu hatukua na mtetezi yeyote wa kututia moyo. Tumaini pekee lilibaki kwa Mungu. Matajiri na maskini wote...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugize: Hujafa hujaumbika, leo umeumbuka

    Baba Askofu Severin Niwemugize Mawazo ya waliomo humu Ndani ya Precision air kabla ya uokozi ni mawazo ya kipekee. Hawawazi benki wana shilingi ngapi, hawawazi Simu ya macho 3/iphone 14 pro max, hawawazi majumba ya kifahari na magari aina ya Lexus v8. Hawawazi kula bata George and Dragon...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  12. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

    Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana. Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza ataka uchunguzi wahalifu kuuawa na Polisi

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu yaliyosababisha baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa wahalifu kuuawa na askari Polisi, ni vyombo hivyo kukubali...
  14. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukame kupandisha tena bei za vyakula nchini

    Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua. Hofu ya bei ya...
  16. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mokiwa alalamika kunyimwa Mafao yake Anglikana

    Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa amelalamika kunyimwa stahiki zake baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo. Dk Mokiwa alivuliwa uaskofu mkuu Januari 7 mwaka 2017 na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo akaliwa kooni, pia 'Mungu wa Zagamba' asakwa kwa ubakaji

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 3, 2022
Back
Top Bottom