askofu

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Nina wasiwasi kuhusu uwepo wa Askari Mstaafu katika tukio la Utekaji la Tashriff Luxury Coach

    Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania BUZA KWA LULENGE PAMEANZA KUCHANGAMKA TENA.THX ASKOFU EDWARD

    Injili lazima iendeleeeee.... PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇 "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro

    Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

    ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U POINTS TAKEN FROM THE CLIP: 1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja 2. Kuna Uchawa 3. Tubadilishe mind set 4. Wanaipa chadema...
  5. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza, Watawala wanatuaminisha kuwa CHADEMA ndiyo chama tawala Tanzania.

    Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo. Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba. UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na ukumbusho wa nukuu ya Mwl Nyerere mwaka 1990

    Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook "Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart. Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

    Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa, Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala ajinyonga kisa madeni, mgogoro

    Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu. --- ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  14. Mjuba og

    JamiiForums Tanzania Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
  16. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa. Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu kuhusu yeye moja kwa moja. Video iko hapo chini.
  17. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  19. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Sangu: Pokea rushwa lakini usimpigie kura

    Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewasihi wananchi wasiwapigie kura viongozi wanaotaka madaraka kwa rushwa, na kwamba wakipewa rushwa wapokee lakini wasipige kura kwa sababu wanaotoa rushwa ni wabinafsi na siyo wazalendo. Askofu Sangu ameyasema hayo Machi 31, 2024...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
Back
Top Bottom