Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
484
913
Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu.

Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza uliwaunganisha waumini wote wa Kanisa Katoliki na ulianzisha ujenzi mkubwa wa Cathedral na mpaka hivi sasa ujenzi wake unaendelea vizuri.

Haya yote ni matunda yako. HONGERA SANA BABA ASKOFU MKUU. Tumsifu Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom