Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85.
Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa...
Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa.
"Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani...
"Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi...
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,
Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI
Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe.
Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki...
Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21).
Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”.
1. Hazina hii hutunzwa mahali pa...
Mbele ya mwili wa Jenista Mhagama na kabla hajazikwa kiongozi mkubwa katika moja ya mihimili alinukuliwa akisema Victor Mhagama, mtoto wa Jenista arithi Ubunge wa Jimbo la Peramiho. Hii ilikuwa kampeni tosha na hivyo Victor hakuhitaji kupiga kampeni yeyote achilia mbali kutoa takrima.
Mara baada...
Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
MIMI : Nikuulize jambo, askofu?
ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba
😀.
MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani
aliyemdanganya Mtu pale
bustanini?
ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya
mwanadamu. Mungu...
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka, makao ya Mungu na mtenda kazi wa Mungu."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.