askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari waliotuhumiwa kumuua Mlinzi wa Boardroom wafukuzwa kazi

    JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan (29). Azan ambaye alikuwa mlinzi wa baa hiyo iliyoko Sinza jijini hapa, aliuawa usiku wa kuamkia Novemba 29, mwaka huu wakati...
  3. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza. Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
  4. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  6. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna askari wa Ukraine walivuka mto Dnipro waliko warusi halafu wakacheka kwa upumbavu wao

    Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi. Kikosi hicho...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askari Wanyamapori kizimbani kwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya Shilingi 2,231,000

    Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  9. MAranatha7

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro: Ajali imefunga mawasiliano kati ya Arusha na Kilimanjaro, saidia kufungua barabara maana Askari wako wamelala

    Kumetokea ajali ya lori la futi 40 katikati ya daraja kubwa na hatari la mto Kikafu tangu saa 4 usiku, raia wamejitolea kuleta winch ndogo na kufanikiwa kutoa kichwa cha lori lkn kontena limebaki barabarani na kufunga barabara 75%. Magari toka Kenya, Manyara na Arusha yamekwama na yanayouokea...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

    Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani? Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

    Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha: Video clip inapanda taratibu.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Afisa Ustawi, Mwalimu wakwamisha tena kesi ya Askari kudaiwa kumpiga hadi kumjeruhi mtoto wake

    Kesi ya Jinai Namba 59, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake (07), jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi baada ya Mashahidi upande wa Mashtaka...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  16. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Wajue Askari wa Mwamavuli wa Rais Samia

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni: 1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU. 2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama. 3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa...
  17. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

    Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF. Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Askari wanyamapori kwenye Maeneo yasiyo na vivutio na wanyama

    "Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

    Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf. Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
Back
Top Bottom