HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,645
3,934

Dec 15, 2023 03:51 UTC

Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya muda wa saa 72 zilizopita.

Kwa mujibu wa IRNA, Abu Obeidah ameongeza pia kuwa: katika mapambano ya wapiganaji shujaa wa Muqawama, magari 72 ya kivita ya jeshi la Kizayuni yaliteketezwa au kuharibiwa vibaya.

Halikadhalika, askari kadhaa wa adui wamejeruhiwa na zana zao kadhaa za kivita zimechukuliwa ngawira katika mashambulio yaliyofanywa na wapiganaji wa Muqawama dhidi ya vikosi vya jeshi hilo la Kizayuni kwa kutumia makombora ya kutungua vifaru, katika makabiliano ya medani ya mapambano na kupitia operesheni za wadunguaji.

Msemaji wa al-Qassam ameeleza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wameishambulia kamandi ya jeshi la adui na vikosi vyake na zana za kijeshi za wavamizi hao katika medani tofauti kwa maroketi na makombora ya masafa mafupi ya Rujum na kufanya mashambulizi makubwa pia ya makombora yaliyolenga miji mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel.

Wapiganaji wa al Qassam
Hapo jana pia, wapiganaji wa Muqawama wa Palestina waliteketeza kwa akali vifaru vinane na magari ya kubebea askari na kuwaangamiza maafisa na askari 10 wa Kizayuni katika mapigano na askari wa jeshi hilo kwenye medani tofauti za Ukanda wa Gaza.

Katika upande mwingine Saraya Al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, limetangaza kuwa limeshambulia kwa roketi kituo cha kijeshi cha Sofa cha utawala wa Kizayuni na kituo cha mkusanyiko cha wanajeshi wa utawala vamizi.

Jeshi la Israel lilikiri jana Alhamisi kwamba tangu ilipoanza Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, wanajeshi wake 445 wameangamizwa na wengine 648 wamejeruhiwa.
 
Na hao magaidi wao wameuliwa wangapi au wenyewe ni majini hawawezi kufa ila ni wanawake na watoto tu ndio wanauliwa.
36 Zionist soldiers killed, 72 military vehicles destroyed

en.irna.ir/news/85322716/
IMG_20231215_131010.jpg
 
Dec 15, 2023 03:51 UTC

Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya muda wa saa 72 zilizopita.

Kwa mujibu wa IRNA, Abu Obeidah ameongeza pia kuwa: katika mapambano ya wapiganaji shujaa wa Muqawama, magari 72 ya kivita ya jeshi la Kizayuni yaliteketezwa au kuharibiwa vibaya.

Halikadhalika, askari kadhaa wa adui wamejeruhiwa na zana zao kadhaa za kivita zimechukuliwa ngawira katika mashambulio yaliyofanywa na wapiganaji wa Muqawama dhidi ya vikosi vya jeshi hilo la Kizayuni kwa kutumia makombora ya kutungua vifaru, katika makabiliano ya medani ya mapambano na kupitia operesheni za wadunguaji.

Msemaji wa al-Qassam ameeleza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wameishambulia kamandi ya jeshi la adui na vikosi vyake na zana za kijeshi za wavamizi hao katika medani tofauti kwa maroketi na makombora ya masafa mafupi ya Rujum na kufanya mashambulizi makubwa pia ya makombora yaliyolenga miji mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel.

Wapiganaji wa al Qassam
Hapo jana pia, wapiganaji wa Muqawama wa Palestina waliteketeza kwa akali vifaru vinane na magari ya kubebea askari na kuwaangamiza maafisa na askari 10 wa Kizayuni katika mapigano na askari wa jeshi hilo kwenye medani tofauti za Ukanda wa Gaza.

Katika upande mwingine Saraya Al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, limetangaza kuwa limeshambulia kwa roketi kituo cha kijeshi cha Sofa cha utawala wa Kizayuni na kituo cha mkusanyiko cha wanajeshi wa utawala vamizi.

Jeshi la Israel lilikiri jana Alhamisi kwamba tangu ilipoanza Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, wanajeshi wake 445 wameangamizwa na wengine 648 wamejeruhiwa.
Sasa hivi inapendeza kwamba Hamas wanatoa takwimu na mwenendo wa vita kama ilivyokuwa ikifanya Marekani kule Iraq na Afghanistan na alivyokuwa akifanya Zelensky mwanzoni mwa vita.
Silaha wanazochukua kutoka matiti wa IDF zimewapa nguvu zaidi.
 
Kazi nzuri
 
Hata mkiwaua msitangaze maana mtawatia hasira na kuanza kulipizia Kwa kulipua watoto, wagonjwa na wanafunzi
 
Baabu kubwa inshaAllah ushindi utapatikana dhidi ya wavamizi mazayuni laana matullah!
 
Sasa hivi inapendeza kwamba Hamas wanatoa takwimu na mwenendo wa vita kama ilivyokuwa ikifanya Marekani kule Iraq na Afghanistan na alivyokuwa akifanya Zelensky mwanzoni mwa vita.
Silaha wanazochukua kutoka matiti wa IDF zimewapa nguvu zaidi.
Kinachonishangaza ni kwann aljazeera hatoi hizi taarifa zao.
 
Back
Top Bottom