askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi yasema Muinjilisti aliyezuia Watoto kwenda shule bado anashikiliwa na hajapigwa na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living aliyeshikiliwa kwa tuhuma za kuwashawishi Wazazi kutowapeleka Watoto shule kwa kile alichodai Yesu anakaribia kurudi. Wiki moja iliyopita, Mkuu wa Wilaya ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

    Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la...
  5. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

    Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
  6. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Tumpe pole askari huyu

    Maaskari wanakutana na changamoto nyingi sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kilasiku. Hili ni moja ya tukio la kuogofya lililompata askari akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao. WOTE TUMPE POLE ASKARI HUYU NB: SIO UUNGWANA KUFURAHIA MATATIZO...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumla ya Askari Polisi 15 watunukiwa Vyeti vya Heshima Mkoani Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake. Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa Desemba 29.2023 Kaka wa mmoja wa marehemu hao aliyejitambulisha kwa jina la Omari Shomari ambaye...
  14. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha ulemavu kwa askari wa Israel kinatisha

    Idadi ya askari walipata ulemavu katika jeshi la Israel katika vita vinavyoendelea imepanda sana na kuongeza gharama za vita. Askari hao wamekiri wenyewe kupigwa na makombora ya Hamas,ushahidi ambao hapo zamani haikutarajiwa kusikika kutoka jeshi la Israel. Habari hizi ni miongoni mwa nishani...
  15. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya gari za 'Patrol' zinatolewa Plate Number na Askari wake hawatoi Vitambulisho?

    Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana. Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
  18. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wanaopigana Gaza wakumbwa na maambukizi yasiyosikia dawa

    Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata majeraha katika vita hivyo vinavyoendelea kwa mwezi wa tatu sasa. Viungo vya askari hao huathiriwa na...
  19. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel. Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

    Dec 15, 2023 03:51 UTC Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya...
Back
Top Bottom