asia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyamwage

    Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

    Hi? Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tanzania bara wala visiwani.
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  3. Tango73

    Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

    Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
  4. Polycarp Mdemu

    Mwaka 1869 ulifunguliwa mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), mfereji unaofupisha safari ya kutoka bara la Ulaya mpaka Asia

    Mwaka 1869 ulifunguliwa Mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), Ni mfereji ambao ulitengenezwa kwa Nguvu ya Binadamu ili Kufupisha safari ya Kutoka Bara la Ulaya Mpaka Asia. Kabla ya kuwepo kwa mfereji huu Safari ya kutoka Ulaya, kwa mfano kutoka Bandari kubwa Ulaya iitwayo Rotterdam huko...
  5. Donnie Charlie

    Mbu wa Malaria kutoka Asia ahamia Afrika

    Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini. Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini. Lakini aina ya mbu wa...
  6. Sijali

    Tujifunze na kuiga kutoka Asia, tuachane na kasumba ya kujikomba kwa Wazungu

    Mwaka 1990, nusu ya raia wa Vietnam walikuwa fukara wa kutupwa zaidi yetu, wakiishi kwa nusu dola kwa siku! Leo, Vietnam kuanzia 2020 imefuta ufukara kabisa! China, katika uhai wangu, miaka ya 60,70 ilikuwa nyuma kwa maisha ya mtu binafsi hata kuliko Tanzania! Leo, China ni ya kwanza duniani...
  7. Lady Whistledown

    Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

    Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
  8. Mrengwa wa kulia

    Jini la Damu linaelekea Asia

    ZIARA ya pelos, reaction kutupa makombora baharini Leo wamepeleka mawakala wa Congress USA hapo anamaanisha We need more than kutupa mawe baharini. Mkiendelea kutupa mawe baharini next week watafungua ubakozi wa Taiwan mkitupa mawe zaid tunatangaza na Uhuru wa Taiwan. ukipenda vitani utaingia...
  9. Sky Eclat

    Asia aliikosa ndoa kwa kutingisha kibiriti kilichojaa

    Asia tunaishi nae mtaa mmoja hapa kwetu Kwamtogole. Ametoka katika familia ya waliostaarabika sana. Huko shuleni alikutana na Daudi kijana na walianza urafiki wakiwa A level. Daudi alipata scholarship ya kwenda kusomea u daktari Uturuki baada ya kumaliza kidato cha sita na kupata alama bora...
  10. JanguKamaJangu

    Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  11. Boss Man

    Mambo ya kuzingatia ukiwa katika nchi za bara la Asia, Ulaya na Marekani

    Ndugu Watanganyika Mungu ni Mwema, sifa kwake kwa kutujalia Uhai Ikiwa una Mpango wa kwenda nchi yeyote Ile Duniani hasa Nje ya bara la Afrika jitahidi kuijua nchi hiyo japo kwa machache mambo ya kuzingatia ukiwa huko pamoja na tamaduni zao, kufanya hivyo itakusaidia sana kuishi kwa amani na...
  12. MK254

    Kenya opens third embassy in Southeast Asia

    Kenya has opened a new embassy in Indonesia two years after it pledged to enhance ties with the southeast Asian country. The mission in Jarkata brings to three the diplomatic stations Nairobi has in the region after setting up one in Kuala Lumpur, Malaysia, five years ago. The other is in...
  13. comte

    Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  14. February Makamba

    Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

    Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk. Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi...
  15. Rion Jr

    Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko lao ni kutoka kusini mashariki mwa Asia

    INDIAN RUNNER DUCKS Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA. Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo chini , kinacho watofautisha na Bata wengine ni nature ya miili yao miembamba na shingo ndefu...
  16. sky soldier

    Wageni wa Ulaya, America na Asia hupewa thamani kubwa mno kuliko wazawa wa Tanzania

    Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
  17. F

    Magego yako yanahitajika Asia kwa Tzs. 24ml

    Nyanja: Biashara/Haki za Binadamu Taswira zote kwa hisani ya Google. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria...
  18. Mlaleo

    Israel nchi ya Bara Asia ya kati na Mwanachama wa Ulaya kukubaliwa kuwa Mwanachama wa African union imekaaje hii?

    Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya...
  19. S

    Hongera Asia Mayaga kwa kulisemea hili la ukaguzi wa udhalilishaji kwenye migodi ya madini

    Imeibuliwa hoja bungeni kwamba watu wanakaguliwa huko Mirerani kwa kuvuliwa nguo. Wanalundikwa kwenye chumba kimoja watu wa rika tofauti wakiwa wamevuliwa nguo eti kisa ni ukaguzi wa madini ya tanzanite. Akiongea kwa ukali na masikitiko mbunge wa viti Maalum Asia Mayaga amesema haivumiliki na...
  20. B

    Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

    Chanzo: www.trt.net.tr Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020 Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India katika Bonde la Galvan. Kulingana na ripoti ya Jeshi la Ukombozi wa Umma (PLA) ya gazeti la siku...
Back
Top Bottom