asia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Magego yako yanahitajika Asia kwa Tzs. 24ml

    Nyanja: Biashara/Haki za Binadamu Taswira zote kwa hisani ya Google. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria...
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel nchi ya Bara Asia ya kati na Mwanachama wa Ulaya kukubaliwa kuwa Mwanachama wa African union imekaaje hii?

    Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Asia Mayaga kwa kulisemea hili la ukaguzi wa udhalilishaji kwenye migodi ya madini

    Imeibuliwa hoja bungeni kwamba watu wanakaguliwa huko Mirerani kwa kuvuliwa nguo. Wanalundikwa kwenye chumba kimoja watu wa rika tofauti wakiwa wamevuliwa nguo eti kisa ni ukaguzi wa madini ya tanzanite. Akiongea kwa ukali na masikitiko mbunge wa viti Maalum Asia Mayaga amesema haivumiliki na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

    Chanzo: www.trt.net.tr Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020 Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India katika Bonde la Galvan. Kulingana na ripoti ya Jeshi la Ukombozi wa Umma (PLA) ya gazeti la siku...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona. Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya wazungu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

    By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
Back
Top Bottom